WASIKILIZE UHARIBU MAISHA YAKO
![](http://api.ning.com:80/files/3BUwwLuJMnSWfNucCoHksNwLQ9g4DyZ5-X3VF1CfsxEipySJAP8pbOeIAhwJ-gRtJazPBKBIz57qt93VBc96NWtALmeUwb1p/dd.jpg?width=650)
KUNA msemo mmoja mashuhuri sana unasema mswahili atakunyima kila kitu, lakini si maneno, ambao hapa tunaweza kuutafsiri kama umbeya. Yes, waswahili kwa umbeya hawajambo, wanazungumza mambo hadi mwenyewe unashangaa, yaani wanakufahamu kuliko unavyojifahamu mwenyewe, hata kama mmefahamiana muda mfupi tu uliopita. Siyo jambo baya kwa sababu ndiyo utamaduni tuliorithi kutoka kwa vizazi vilivyotangulia na kadiri dunia inavyobadilika,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Hatua za kuchagua fani ya maisha yako
10 years ago
Mwananchi26 Oct
unaweza kukabiliana na fadhaa katika maisha yako?
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Je,unajua jinsi ya kuyafanya maisha yako yawe na shangwe ?
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Unajua jinsi ya kukabiliana na vikwazo katika maisha yako?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuBz7eaw5UZkV0b-C9peBZ4*WbDyiazI0pN7IXhtvmhcvbpDx7wEN*OdROThOpUDxA75Mqk9zpX*UU*IPqJwa-1p/mahaba.gif?width=650)
VIGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-YZ1YCrt0Ywo/ViZhoug8kZI/AAAAAAAAIDQ/adYOegoabZw/s72-c/suneeta.jpg)
UGUNDUZI WA MAPEMA WA SARATANI YA MATITI UTAOKOA MAISHA YAKO
![](http://1.bp.blogspot.com/-YZ1YCrt0Ywo/ViZhoug8kZI/AAAAAAAAIDQ/adYOegoabZw/s1600/suneeta.jpg)
Na Mwandishi Wetu,
Saratani inasemwa kuwa chanzo kikubwa cha pili kinachosababisha vifo ulimwenguni. Saratani ya matiti peke yake inaripotiwa kuwa ya pili kama sababu kubwa ya vifo vinavyohusisha saratani kwa wanawake nchini Tanzania. Kuchelewa kupata ugunduzi wa haraka na tiba kwa wagonjwa wengi wa saratani ya matiti kunachangia kuleta ugumu kwenye matibabu pale ugonjwa unapoingia ngazi ya juu zaidi. Gonjwa hili limeendelea kuwa janga hasa kwa...