Wasomali walaani marufuku ya Miraa UK
Wasomali waishio Uingereza wanaotafuna mmea wa Miraa wamelaani hatua ya serikali kupiga marufuku mmea huo . Je nini athari yake?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Marufuku ya Miraa yaanza kutekelezwa
Marufuku ya utafunaji wa miraa nchni Uingereza inaanza kutekelezwa leo na kusababisha hofu ya kupoteza ajira kwa wakulima Kenya
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Marufuku ya biashara ya miraa,Kenya
Ni mwaka mmoja tangu serikali ya Uingereza kupiga marufuku uuzaji na utumiaji wa miraa ama Mirungi nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Marufuku ya Miraa yaanza rasmi UK
Marufuku ya utafunaji wa miraa nchni Uingereza inaanza kutekelezwa leo na kusababisha hofu ya kupoteza ajira kwa wakulima Kenya
11 years ago
BBCSwahili14 May
Marufuku ya Miraa UK yazua kizaazaa Kenya
Wabunge kutoka eneo linalokuza mmea wa Khat au Miraa la Meru mashariki ya Kenya wametishia kuwasilisha mswada bungeni kulazimisha serikali kuwafukuza wakulima waingereza wanaoishi katika eneo hilo.
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
Uingereza yasisitiza Miraa ni haramu
Uingereza imesistiza kwa marufuku iliyowekewa mmea wa Miraa itaanza kutekelezwa tarehe 24 mwezi Juni
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Usafirishaji wa miraa Somalia warejelewa
Usafirishaji wa miraa kutoka Kenya hadi Mogadishu umerejelewa baada ya kusitishwa kwa siku tatu.
10 years ago
BBCSwahili15 Feb
Wakataa kusafirisha miraa Somalia
Wafanya biashara wa marungi au miraa wa Kenya, wameacha kusafirisha bidhaa hiyo kwenda Somalia kwa sababu imekuwa ghali mno.
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Je,miraa inaongeza nguvu za kiume?
Mwakilishi wa wanawake katika eneo la Meru huko Kenya Florence Kajuju ameanza mpango wa kuwahamasisha wanaume kutumia miraa
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Watu 3 wakamatwa wakisafirisha Miraa UK
Polisi wamewakamata wanawake watatu raia wa Indonesia katika uwanja wa ndege wa Moi mjini Mombasa Kenya wakisafirisha miraa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania