Wataka Katiba ya Tanganyika
Serikali imeshauriwa kuanza mchakato wa kuunda Katiba ya Serikali ya Tanganyika ili iweze kuendana na matakwa ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 Apr
DRC,Tanzania wataka msaada kunusuru Z'Tanganyika
SERIKALI ya Tanzania na ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetaka Jumuiya ya Kimataifa na marafiki wengine kutoa msaada wa hali na mali katika juhudi za nchi hizo kutekeleza mradi unaohusisha ujenzi wa ukuta katika mto Lukuga ambao ndiyo pekee unaotoa maji kutoka Ziwa Tanganyika.
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Tatizo la Tanganyika na mchakato wa Katiba
MOJAWAPO –kama si kubwa zaidi – ya hoja ambazo zitazua mjadala mkali katika Bunge Maalumu la Katiba (BMLK) ni ile itakayohusu muundo wa Jamhuri ya Muungano kama inavyopendekezwa katika rasimu...
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Katiba ya Tanganyika yaingizwa kwenye Muungano
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA FREDY AZZAH, DODOMA
WAKATI Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa uwapo wa mfumo wa Serikali tatu, Bunge Maalumu la Katiba limeanza kujadili baadhi ya sura ambazo ziliachwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa ajili ya Katiba ya Tanganyika.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, alisema sura hizo ni pamoja na ile...
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Katiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu
10 years ago
Habarileo30 Aug
KKKT wataka Katiba ya Watanzania
MSAIDIZI wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kikristo Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma Mchungaji Samweli Mshana, amewataka wajumbe walio katika mchakato wa Katiba kuhakikisha wanawapatia watanzania Katiba itakayotoa haki zote bila upendeleo.
10 years ago
Habarileo03 Oct
Wataka Katiba inayopendekezwa itembezwe
BAADHI ya wajumbe wameshauri Katiba Inayopendekezwa iliyopatikana jana, itembezwe na kutumika kutoa elimu kwa wananchi, ikiwemo kupitia mkutano wa hadhara utakaofanyika Kibandamaiti, Zanzibar.
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Walemavu wataka elimu ya katiba
UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), umesema baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba iliyopendekezwa, kilichobaki sasa ni wananchi kupewa elimu ya kutosha ili wafanye uamuzi sahihi. Akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba
KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Wazanzibari wataka uwiano Bunge la Katiba