Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KKKT wataka Katiba ya Watanzania

MSAIDIZI wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kikristo Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma Mchungaji Samweli Mshana, amewataka wajumbe walio katika mchakato wa Katiba kuhakikisha wanawapatia watanzania Katiba itakayotoa haki zote bila upendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania Zimbabwe wataka rasimu ya katiba



Na Athanas Kazige, Harare BAADHI ya Watanzania wanaoishi Zimbabwe, wameiomba serikali kupeleka Rasimu ya Katiba ili waisome na kuielewa vizuri. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi hapa, Apatae Fatacky, alisema hayo alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari hii, katika  klabu ya Watanzania iliyoko 6 Allan Willson.
Alisema wamekuwa wanafuatia rasimu hiyo kwa kusoma kupitia mitandao ya kijamii na kuomba kama kuna uwezekano wapelekewe vitabu angalau 10, katika ofisi ya ubalozi....

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wataka nchi ikumbukwe duniani

>Ujumbe wa Tanzania katika mikutano muhimu inayofanyika Marekani wameipigia debe nchi yao wakitaka ikumbukwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka Katiba ya Tanganyika

Serikali imeshauriwa kuanza mchakato wa kuunda Katiba ya Serikali ya Tanganyika ili iweze kuendana na matakwa ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wataka elimu ya katiba

UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), umesema baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba iliyopendekezwa, kilichobaki sasa ni wananchi kupewa elimu ya kutosha ili wafanye uamuzi sahihi. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Katiba inayopendekezwa itembezwe

BAADHI ya wajumbe wameshauri Katiba Inayopendekezwa iliyopatikana jana, itembezwe na kutumika kutoa elimu kwa wananchi, ikiwemo kupitia mkutano wa hadhara utakaofanyika Kibandamaiti, Zanzibar.

 

9 years ago

MillardAyo

Wakenya wataka Watanzania kufungiwa matumizi ya Instagram!! Na hizi ndio sababu zao…

Wakenya wameanza mwaka wa 2016 kwa kuomba Watanzania waondolewe kwenye mtandaoa wa Instagram, mtandao maarufu wa kijamii! Watumiaji wa mtandao huo kutoka Kenya, wanadai Watanzania wamethibitisha kuwa hawawezi kutumia mtandao huo vizuri kutokana na lugha nzito inayotumiwa na Watanzania pamoja na tabia ya baadhi ya Watanzania kupost  videos za utupu kwenye mtandao huo. Wakenya wengi […]

The post Wakenya wataka Watanzania kufungiwa matumizi ya Instagram!! Na hizi ndio sababu zao… appeared first...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba

CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazanzibari wataka uwiano Bunge la Katiba

Suala la uwiano wa wajumbe katika Bunge Maalumu la Katiba, kati ya Tanzania Bara na Zanzibar, juzi jioni lilizua malumbano yaliyotokana na mjumbe, Said Ally Mborouk, kueleza kuwa Zanzibar kwa muda mrefu imekuwa ikionewa na kudhulumiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani