Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka Waziri aibane Sumatra ipunguze nauli

Samwel Sitta.CHAMA cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimewaomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sita kuingilia kati na kuagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), isikilize kilio cha wananchi kuhusu kupunguzwa kwa nauli.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sumatra 'yagoma' kushusha nauli

Abiriaq wakigombania kuingia ndani ya daladala. Pamoja na shida hii lakini Sumatra imeshindwa kushusha nauli.MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.

 

10 years ago

Habarileo

Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra

David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yatafakari kushusha nauli

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewataka wananchi na jamii kuwa watulivu na kuendelea kuvuta subira, huku suala la kushuka kwa bei ya mafuta likifanyiwa utafiti ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua ya kushusha nauli za vyombo vya usafiri.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI

  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA),Gilliard Ngewe akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na ushushwaji wa nauli za mabasi ya masafa marefu ofisini kwake jijini Dar es salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti usafiri wa barabara,Geffrey Silinda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  katika ofisi za Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) jijini Dar es Salaam,kulia ni  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumatra yakomaliwa ishushe nauli za mabasi

Chama  cha Kutetea Abiria (Chakua) kimeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Ardhini Sumatra kukutana na wadau kujadili punguzo la nauli kutokana na kuendelea kuporomoka kwa bei ya mafuta.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yasema nauli lazima zishuke

Meneja Mawasiliano wa SUMATRA, David MziraySIKU chache baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kutaka uangaliwe uwezekano wa kushusha nauli za vyombo vya usafiri nchini, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema inatekeleza agizo hilo na kwamba nauli za daladala na mabasi ya mikoani zitashuka wakati wowote kuanzia sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra waanza kudhibiti nauli, ajali

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeanza mikakati ya kudhibiti kupandishwa kwa nauli wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka nchi nzima pamoja na kudhibiti ajali.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yaanza mchakato kurekebisha nauli

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta, (EWURA), Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imeanza mchakato wa mapitio ya viwango vya nauli za mabasi.

 

10 years ago

GPL

SUMATRA YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA NAULI

TAARIFA KWA UMMA NAULI ZA MABASI YA MASAFA MAREFU NA MIJINI
1.0 UTANGULIZI

Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2014 bei ya mafuta yatumikayo katika vyombo vya usafiri wa abiria nchini ilianza kushuka. Kufuatia kushuka huko kwa bei, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) ilikuwa ikipokea wito wa kupitia upya viwango vya juu vya nauli ambavyo viliwekwa na Mamlaka mwezi Aprili, 2013. Hivyo SUMATRA ikaamua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani