SUMATRA YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA NAULI
![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5N6Pt9JoLvcvKUM6CxSDDTAESpgSdEJ7Sp-1SXsCc7IHUxCZMvadt88usUAb8gh4v7UAKTerewAB*7C5m9ZVE*O/7af2MOSHI.jpg)
TAARIFA KWA UMMA NAULI ZA MABASI YA MASAFA MAREFU NA MIJINI 1.0 UTANGULIZI Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2014 bei ya mafuta yatumikayo katika vyombo vya usafiri wa abiria nchini ilianza kushuka. Kufuatia kushuka huko kwa bei, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) ilikuwa ikipokea wito wa kupitia upya viwango vya juu vya nauli ambavyo viliwekwa na Mamlaka mwezi Aprili, 2013. Hivyo SUMATRA ikaamua...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ASEMA SERIKALI HAIJARIDHIA VIWANGO VIPYA VYA NAULI YA MABASI YAENDAYO KASI.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguza na Waandishi wa Habari kwenye uwanja wa Ngege wa Julius Nyerere baada ya kuwasili akitoka Songea Januari 6, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Geoge Simbachawene. na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es slaam Meck Sadiki.
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Fifa yatoa viwango vipya vya soka .
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-y5FmbWDtpg4/XneOBciSfyI/AAAAAAALkvc/kNrLdQY59Kk7O7b2FWDIM20scho9BiHxwCLcBGAsYHQ/s72-c/_111388282_7d9478ca-089d-4d0a-a2bf-85b503328235.jpg)
Kenya yatangaza visa 8 vipya vya ugonjwa wa corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-y5FmbWDtpg4/XneOBciSfyI/AAAAAAALkvc/kNrLdQY59Kk7O7b2FWDIM20scho9BiHxwCLcBGAsYHQ/s640/_111388282_7d9478ca-089d-4d0a-a2bf-85b503328235.jpg)
Walioambukizwa ni Wakenya watano na raia watatu wa kigeni walio na umri wa kati ya miaka 20 hadi 57.
Wanane hao waliingia nchini kupitia uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta kati ya Machi 4 na 17.
Serikali kwa sasa inafanya juhudi ya kuwatafuta waliotangamana nao ili kudhibiti...
5 years ago
BBCSwahili22 Mar
Coronavirus: Kenya yatangaza visa 8 vipya vya ugonjwa wa corona
10 years ago
Habarileo14 May
Tanesco kuja na viwango vipya
SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) linakusudia kupanga viwango vipya vya malipo ya umeme vitakavyotoa unafuu kwa taasisi hiyo na wadau wake endapo vyombo vinavyohusika, ikiwamo EWURA vitaidhinisha.
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
10 years ago
Habarileo16 Apr
Sumatra 'yagoma' kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.