WATAKWIMU WA NCHI ZA AFRIKA WASISITIZWA KUZINGATIA WELEDI NA UWAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-mPrLijy9flE/VaO-I92Wt9I/AAAAAAAHpW4/sxBHyDwAfLY/s72-c/Picha%2Bna%2B1..jpg)
Mwakilishi wa Benki ya Afrika (ADB) nchini Tanzania Tonia Kandiero akizungumza na washiriki wa Warsha ya Kimataifa ya Watakwimu kutoka nchi za Afrika zinazozungumza lugha ya kiingereza juu ya ushiriki wa ADB katika masuala ya Takwimu katika Bara la Afrika leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. albina Chuwa akiwakaribisha nchini Tanzania washiriki wa mkutano wa kimataifa wa Watakwimu kutoka nchi za Afrika zinazozungumza lugha ya kiingereza leo ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Kova ataka polisi kuzingatia weledi
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka askari wa kanda hiyo kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haki za binadamu na kufuata maadili ya...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tK5NvkqYl2o/VdLS6BWtkPI/AAAAAAAHx5Q/gZmpPVQY6vU/s72-c/unnamed%2B%252830%2529.jpg)
madereva wa BRT watakiwa kuzingatia mafunzo, weledi katika kutoa huduma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXWfzptwq7rgEgMNdHTNxmdKzB8SG-k322AJ3LRKAygTCf9*1Val8*ZJpAAKIOxpjY0o1ytPAxB605--nawNpeJu/image.jpg?width=650)
MKAPA AWATAKA WAKANDARASI NCHINI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA WELEDI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
SERIKALI YAWATAKA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA NCHINI KUZINGATIA WELEDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vtc5J0DTJXI/VCLT40NZ3dI/AAAAAAAGlik/vQVqBb9F6NY/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-neU-d-apMgk/VCLT4oU8akI/AAAAAAAGlig/JiiL9jV3wfU/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 May
Klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida yatakiwa kuzingatia weledi katika taaluma yao
aimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Cosbert Mwinuka, akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Singida Press Club (Singpress) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hotel ya Muhai iliyopo kijiji cha Nduguti.Wa pili kulia (walioketi) ni mwenyekiti wa Singpress, Seif Takaza na wa kwanza kulia ni makamu mwenyekiti wa Singpress,Damiano Mkumbo.
Baadhi ya wanachama wa Singpress,waliohudhuria mkutano mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye...
9 years ago
Michuzi17 Aug
WATAALAM WA TEHAMA NCHINI TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI, WELEDI NA UBUNIFU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/178.jpg)
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao leo jijini Arusha.Zaidi ya wataalam wa TEHAMA 500 kutoka Wizara, Idara, Wakala,Taasisi, Halmashauri wako jijini Arusha kujadili mafanikio na changamoto za Serikali mtandao.
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/254.jpg)
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.Jabiri Bakari akitoa ufafanuzi kuhusu Serikali Mtandao kwa washiriki wa Mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao unaofanyika katika...
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s72-c/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
WELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s1600/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...