WATANGAZA NIA YA URAIS WASICHAFUANE
![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwrk1JNwSq3lehIHb5fJXY5CSbi0I8BGNHuKg3BRnW-QzcLTj2IpV2PsVu1vbua4PxKIiGnqsbQvhUfc95oi2DTZ/PMPINDA.jpg?width=650)
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda (Mbunge wa Katavi). Hakika Mungu ni mwema sana. Ametuwezesha leo kuwa na nguvu ya kutafakari hatima ya nchi yetu ambayo inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 hapo Oktoba.Mwishoni mwa wiki iliyopita tulishuhudia makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakijitokeza kuwania urais kupitia chama hicho na tayari wameanza kuchuana kutangaza nia yao baada ya vikao vya Kamati Kuu Taifa (CC) na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Watangaza nia wachukua fomu za urais
MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliotangaza nia ya kugombea urais, jana wameanza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama chao mjini Dodoma.
Kila aliyechukua fomu alikutana na waandishi wa habari nje ya jengo la makao makuu ya CCM na kueleza nini ambacho atawafanyia Watanzania endapo akiteuliwa kupeperusha bendara ya chama chake.
PROFESA MWANDOSYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya, alisema makundi yaliyoibuka ndani ya chama hicho yanaashiria baadhi...
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Maswali ‘yaliyowakimbiza’ watangaza nia ya urais yatajwa
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Watangaza nia na sanaa ya kujieleza ( 4)
JUMA la jana tuliangazia mambo muhimu ya kuzingatia unapokwenda kutoa hotuba.
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Watangaza nia vijana wamgeuka Pinda
WATANGAZA nia vijana kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemgeuka mtangaza nia mwenzao ambaye pia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kauli aliyowahi kuitoa bungeni mjini Dodma, maarufu kama ‘piga tu’, wakisema haifai na ni aibu kwa kiongozi.
Vijana hao kwa nyakati tofauti walitoa kauli hiyo jana mjini Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga kwenye mdahalo ulioandaliwa na kipindi cha Mikikimikiki 2015 kinachorushwa na kituo cha Star TV.
Kauli hizo zilikuja baada ya mwanafunzi mmoja wa Chuo...
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Mtazamo wa watangaza nia kwenye elimu
KWA muda wa miezi miwili Watanzania walishuhudia vituko vya watangaza nia ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuanzia kujinadi hata kupita mikoani kuomba wadhamini.
Yameelezwa mengi na kufafanuliwa kwa namna tofauti ili kuhakikisha Tanzania inaondokana na umasikini uliotopea, lakini lililojirudia ni suala la nafasi ya elimu katika kuipaisha nchi kiuchumi.
Hoja kubwa hapa ni namna ambavyo kila mtangaza nia amegusa elimu kwa namna yake, hasa ikizingatiwa elimu ndiyo...
10 years ago
Habarileo06 Jun
Watangaza nia CCM wanyimwa mdahalo
WAKATI Watanzania na hasa viongozi wa sekta binafsi, wakijiandaa kupima uwezo na uelewa wa watangaza nia wa CCM, katika masuala muhimu ya kiuchumi kwenye mdahalo ulioandaliwa kesho kutwa, chama hicho kimepiga marufuku watangaza nia hao kushiriki midahalo hiyo.
10 years ago
Habarileo14 Jun
Watangaza nia waipunguzia kazi CCM
IDADI kubwa ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetajwa kutoa ahueni kubwa kwa vikao vya uamuzi na hasa Kamati Kuu, katika kufanya mchujo wake.
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Watangaza nia CCM wanatutengenezea njia- Ukawa
10 years ago
Mwananchi01 Jun
UCHAGUZI MKUU: Membe: Wapimeni watangaza nia