Watanzania 5 kutibu ebola Afrika Magharibi
MADAKTARI watano wa afya wamejitolea kwenda kutoa huduma katika baadhi ya nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na ugonjwa wa ebola. Wataalamu hao walioondoka jana, baadhi yao walizungumza na waandishi wa habari katika mkutano kati ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando na vyombo vya habari.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Madaktari Watanzania waliokwenda kukabiliana na ebola Afrika Magharibi
Unaposikia ugonjwa wa ebola, ni sawa na kusikia sauti ya mauti. Ugonjwa huu ambao unaliandama eneo la Afrika Magharibi umesababisha vifo vya maelfu ya watu na hata kuuingiza ulimwengu kwenye wasiwasi mkubwa.
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Ebola yatikisa Afrika Magharibi
Homa ya Ebola wakati huu inasemekana kuwa kali zaidi kuliko wakati mwingine wowote
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Ebola kutokomezwa Afrika magharibi
Nchi za Afrika magharibi zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na ugonjwa wa Ebola
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ebola yaendelea kuitesa Afrika Magharibi
Wakati ugonjwa wa ebola ulipovamia Kijiji cha Pujeh kilichopo nchini Sierra Leona, wanakijiji kama kawaida yao unapotokea ugonjwa wowote hukimbilia kwa mganga wa kienyeji: walikimbilia kwa mganga kutaka kujua tatizo, lakini hakuna aliyepona.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFWMtE*GrREoADoByhLynakyEyz7iecoXDsKUMcaHD4qpPp5NRHhr4TjYqkpepy*0nNsh-mfIJue*sSbV0L-K5BV/ebola.jpg?width=650)
EBOLA BADO TISHIO AFRIKA MAGHARIBI
TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO), inaonyesha jinsi gonjwa hatari la Ebola linavyozidi kuangamiza wananchi katika eneo hilo. Agosti 22 mwaka huu, WHO walitoa taarifa kuwa, jumla ya wagonjwa walioripotiwa kuwa na Ebola ni 2,615 kwenye nchi nne za Afrika Magharibi ambapo kati yao 1,427 wamepoteza maisha kwa ugonjwa huo. Nchini Liberia ambapo ugonjwa huo ulianzia, wagonjwa 1,082 wameripotiwa kuwa...
10 years ago
BBCSwahili03 Sep
Ebola yapungua Afrika Magharibi:MSF
Mkuu wa shirika la madawa la kimataifa la madaktari wasio na mipaka MSF, Joanne Liu amesema mlipuko wa Ebola umepungua.
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Ebola yapoteza ajira,Afrika Magharibi
Zaidi ya nusu ya raia wa Liberia waliokuwa na ajira mara baada ya mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola hawana ajira tena kwa sasa.
10 years ago
Habarileo21 Aug
Ebola waua watu 1,229 Afrika Magharibi
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza idadi ya watu waliokufa kwa ugonjwa hatari wa ebola katika nchi nne za magharibi mwa Afrika kuwa imefikia 1,229.
10 years ago
Bongo509 Oct
Ebola kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi dola bilioni 32
Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaweza kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi zaidi ya dola bilioni 52 katika mwaka ujao iwapo maafisa watashindwa kuudhibiti, benki ya dunia imeonya. Benki hiyo imesema kwenye ripoti yake mpya kuwa, kama jitihada za kuzuia kusambaa kwake katika nchi zilizokubwa zaidi na ugonjwa huo– Liberia, Sierra Leone na Guinea – […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania