Watanzania Atlanta BBQ
Tanzania Association of Atlanta BBQ PartyWhere: Holcomb Bridge Park - {4300 Holcomb Bridge, Norcross GA 30092}When: Saturday June 13th, 2015Time: 4:00 PM (EST)*** Wote Mnakaribishwa***
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTangazo la BBQ kwa Watanzania wa New Jersey, USA
WATANZANIA WA NEW JERSEY, NA MAENEO YA KARIBU (NY, CT, MA, PA, MD, DE) Mnakaribishwa wote kwenye Community Barbeque ya Watanzania siku ya Jumamosi, Agosti 23, 2014, kuanzia saa tisa alasiri katika viwanja vya Lincoln Park, West Side Avenue, Jersey City, New Jersey. Lengo letu ni kujumuika pamoja, kufahamiana zaidi na kula nyama. Kufika kwako ndio mafanikio ya jumuiko letu sote. Ahsanteni.
10 years ago
VijimamboWatanzania wa jimbo la Georgia na Alabama wakutana kwa hafla ya nyama choma Atlanta, GA
DJ. Dullah akiburudisha wakati wa nyama choma hiyo.Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI
10 years ago
VijimamboDULLAH MSANGI AWAALIKA MARAFIKI KWENYE BBQ, HOOVER, ALABAMA.
DJ Dullah Msangi aki-BBQ nyumbani kwake Hoover, Alabama. BBQ hiyo iliandaliwa kuadhimisha pasaka pamoja na kukaribisha baadhi ya ndugu kutoka Tanzania. Kutoka kushoto: Dullah, Victor, wakizungumza na Mama Mtui. Rafiki wa Dullah Msangi wakipata mlo aliowaandalia nyumbani kwake. Kutoka kushoto: Gerald, Awwal, na Victor. Wageni waalikwa wakifurahia mjumuiko wa chakula cha jioni nyumbani kwa Dullah Msangi. Kutoka kushoto ni Mtoto Caren, Mama Mtui, na bi harusi mtarajiwa Suzan, ambaye ni mchumba...
9 years ago
VijimamboTanzania Muslim Community of Houston Presents Eid El-Hajj BBQ
Tanzania Muslim Community of Houston jioni ya leo ilifanya BBQ Party ya Eid El Hajj kwenye viwanja vya Ray Miller Park katika barabara ya Eldridge , Kamera ya MlongoKihoma Blog ilikuwepoi\ kukupa picha za matukio.
Waumini wakipata Salat Maghrib
Salat Maghrib
Abou with Zaynab
Zaina & Fue
Chef Ally Sued akiwa kazini
Waumini wakipata Salat Maghrib
Salat Maghrib
Abou with Zaynab
Zaina & Fue
Chef Ally Sued akiwa kazini
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA BBQ NEW YORK CITY JITIRIRISHE HAPA CHINI KIROHO SAFI
Mh. Balozi Tovako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Pamoja na Dr. Elmi Ahmed Duale wakiwa kwenye BBQ hiyo maeneo ya Roosevelt Island New York. BBQ hiyo iliandaliwa kwa ushirikiana na New York Tanzania Community na Ubalozi wa New York. Na watu mbali mbali na familia zao karibishwa ilikufurahia hali ya hewa na kubadirishana mawazo.
Mh. Manongi akipata ukodak pamoja na mkufunzi wa Miss U.S.A mama Winne kutoka DC na Kushoto kwa Balozi na Mwenyekiti wa...
10 years ago
VijimamboTANZANIA DAY/MUUNGANO BBQ IN NEW YORK CITY SATURDAY MAY 2, 2015 KARIBU WOTE
Jumuiya ya Watanzania wa New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa kwa pamoja na udhamini wa Miss Tanzania USA. Tunapenda kuwataarifu wanajumuiya wote kuwa kutakuwa na BBQ maalum kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Muungano wetu/Tanzania Day ambayo ilikuwa April 26,1964. Shime tujitokeze kwa wingi kusherehekea siku yetu hii adhimu itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 2 Mei 2015 kuanzia saa Saba mchana Roosevelt Island. Kama...
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboBBQ NA MTANANGE WA MUUNGANO KUFANYIKA. WALKER MILLS SIKU YA JUMAMOSI PBZ KUKABIDHI JEZI KESHO
Kiwanja kitakachopigiwa mtanange
Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani chini ya udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wa dhamini mechi hii tangia mwaka jana.
Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills
Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.
Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747,
Jezi Jezi
Jezi
Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani chini ya udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wa dhamini mechi hii tangia mwaka jana.
Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills
Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.
Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747,
Jezi Jezi
Jezi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10