Tangazo la BBQ kwa Watanzania wa New Jersey, USA
![](http://3.bp.blogspot.com/-FjWdhBnVuM8/U_P0a4MikvI/AAAAAAAGAzg/Rrjj1xYLOBE/s72-c/image.jpeg)
WATANZANIA WA NEW JERSEY, NA MAENEO YA KARIBU (NY, CT, MA, PA, MD, DE) Mnakaribishwa wote kwenye Community Barbeque ya Watanzania siku ya Jumamosi, Agosti 23, 2014, kuanzia saa tisa alasiri katika viwanja vya Lincoln Park, West Side Avenue, Jersey City, New Jersey. Lengo letu ni kujumuika pamoja, kufahamiana zaidi na kula nyama. Kufika kwako ndio mafanikio ya jumuiko letu sote. Ahsanteni.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Feb
TANGAZO KWA WATU WALIOSAFIRISHA MIZIGO TANZANIA TOKA USA KWA CONTAINER AMBAYO HAIJAFIKA
![](http://www.devonstorage.co.uk/images/devon_container_storage.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-4sf0_dcXxV0/VdgyBIwuesI/AAAAAAAAAv0/HY17Djj_4VY/s72-c/Chadema.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oeV21gL_BHw/VWw9avs4nDI/AAAAAAAAIvM/LKP6oo8Nmmo/s72-c/image007.jpg)
Watanzania Atlanta BBQ
![](http://3.bp.blogspot.com/-oeV21gL_BHw/VWw9avs4nDI/AAAAAAAAIvM/LKP6oo8Nmmo/s640/image007.jpg)
Tanzania Association of Atlanta
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6UmQFqx-edg/Uyya8bTscPI/AAAAAAAFVkc/0gObDx57SaQ/s72-c/unnamed+(3).jpg)
TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-6UmQFqx-edg/Uyya8bTscPI/AAAAAAAFVkc/0gObDx57SaQ/s1600/unnamed+(3).jpg)
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Forty Avenue, Wembley Park, London, Middx, HA9 9BE, kuanzia saa 10 jioni (16:00).
Katika Mkutano huo, Mhe.Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo...
11 years ago
Michuzi31 Jul
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
![IMG-20140727-WA0011](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140727-WA0011.jpg)
Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140727-WA0011.jpg?width=600)
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani. Miss Tanzania 1999 ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu akipata ukodak na Miss Tanzania USA, Joy Kelemera baada ya mahojiano maalum nchini Marekani. Let us all wish her all the best!… ...
10 years ago
Michuzi03 Jul
TANGAZO LA VIWANJA NA MASHAMBA KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA (DIASPORA)
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaandaa mahitaji ya ardhi kwa ajili ya watanzania waishiao nje ya Tanzania. Nchini Uingereza, Ubalozi unaratibu zoezi hilo kwa watanzania waishio Uingereza na Ireland.
Tunaomba maombi hayo yaainishe Mkoa na Wilaya hitajika, aina ya matumizi ya ardhi hiyo kama ni Makazi, Biashara au Kilimo.
Maombi yawasilishwe kwa Viongozi wa Jumuiya za Watanzania katika miji/ maeneo wanayoishi, ambao watayaleta ubalozini kwa hatua zaidi. Au muombaji wanaweza...
Tunaomba maombi hayo yaainishe Mkoa na Wilaya hitajika, aina ya matumizi ya ardhi hiyo kama ni Makazi, Biashara au Kilimo.
Maombi yawasilishwe kwa Viongozi wa Jumuiya za Watanzania katika miji/ maeneo wanayoishi, ambao watayaleta ubalozini kwa hatua zaidi. Au muombaji wanaweza...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F9hpq0MjsrQ/VQpUd2WBhnI/AAAAAAAHLYA/hFkYVbsZLaM/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta. Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015. Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni. Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania