Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA SABA WAULA KAMATI ZA CAF

Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la mpira barani Afrika (CAF ) kilichokutana mwishoni mwa wiki jijini Cairo nchini Misri, kimewateua watanzania saba kuwa wajumbe wa kamati zake mbali mbali kwa kwa kipindi cha miaka miwili 2015-2017. 

Walioteuliwa pamoja na kamati zao katika mabano ni: 
1. Leodeger Tenga- (Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Fedha, Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Mashindano ya fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa ndani (CHAN), Mwenyekiti wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watanzania saba waula CAF

WATANZANIA saba wameula baada ya kuteuliwa kwenye kamati mbalimbali za Shirikisho la Soka Afrika, (CAF). Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Shirikisho la Soka Tanznia (TFF), uteuzi huo ulifanyika kwenye kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF kilichokutana mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Cairo, Misri.

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi waula Kamati ya Stars

KAMATI mpya ya kusaidia timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ ilijitambulisha rasmi jana mbele ya vyombo vya habari, huku ikitangaza kuteua kamati nne ndogo kwa ajili ya kuhakikisha inasimamia ipasavyo mikakati mbalimbali ya ushindi, ikianzia katika mchezo ujao dhidi ya Algeria.

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ngeleja, Mpina, Mtanda waula Kamati za Bunge

Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Uchaguzi.

 

5 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole,  akieleza yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole alitoa maelezo hayo wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Waandishi wa habari.







Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania saba wauawa Zambia

MIILI ya watu saba inayosadikiwa kuwa ni raia wa Tanzania, imekutwa katika Kijiji cha Chianga kilichopo Wilaya ya Nakonde nchini Zambia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Nakonde, zinaeleza polisi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wavuvi saba Watanzania wawekwa karantini baada ya kuokolewa baharini Kenya

Wavuvi wa saba raia wa Tanzania waliookolewa baada ya boti yao kupinduka katika bahari ya hindi siku tatu zilizopita wamewekwa karantini.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA TAIFA STARS, YAWASHUKURU WATANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati Taifa Stars, Farough Baghozah amewashukuru watanzania kwa michango yao waliyoitoa kuispaoti timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ katika michezo ya kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi dhidi ya Algeria.
Farough alianza kwa kuwashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi katika mechi ya Taifa Stars na Algeria na kuwashukuru pia wale wote waliosafiri na timu hiyo ya Taifa, Taifa Stars kwenda Algeria katika mechi ya marudiano.
Pia Mwenyekiti amechukua fursa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani