Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WACHUKUA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA KUCHEZA MUZIKI KENYA

Washindi wa shindano la kucheza muziki, The Band wakionyesha mfano wa hundi ya shilingi milioni 1 ya Kenya.Washindi wa Sakata Mashariki 2014, The Band kutoka Kenya wakipewa mfano wa hundi kama zawadiKundi la DSI likiwa katika mchuano huo jana usiku.Washindi wa pili kundi la IDU kutoka Uganda likiwa katika kucheza.Kundi la kucheza muziki lililokuwa likiwakilisha Tanzania, T-Africa likiwa katika pozi kusubiri matokeo.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Majaji wakifuatilia shindano hilo la kucheza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATANZANIA WASHINDA MASHINDANO YA KUCHEZA MUZIKI KENYA

Washindi wa shindano la kucheza muziki, The Band wakionyesha mfano wa hundi ya shilingi milioni 1 ya Kenya. Washindi wa Sakata Mashariki 2014, The Band kutoka…

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

11 years ago

GPL

BI. MWENDA AFUNIKA KUCHEZA MUZIKI

Stori: Gladness Mallya
MKONGWE kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amefunika mbaya katika uchezaji wa muziki ambapo aliwatoa jasho hadi vijana wadogo. Mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’. Tukio hilo lililovuta hisia za wengi lilinaswa na paparazi wetu, wikiendi iliyopita kwenye sherehe ya bethdei ya Klabu ya Bongo Movie Unity, iliyofanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kucheza fainali za mashindano mapya ya Ebola

Wakongwe wa soka nchini ambao pia ni mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu, Yanga na pia Azam watashiriki mashindano mapya ya soka yanayoitwa Ebola yatafanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

MOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Diego Costa. Kocha wa timu ya Chelsea, José Mário dos Santos Mourinho Félix 'Jose Mourinho'. KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa sababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania. Costa, amefunga mabao saba katika mechi nne za awali Chelsea,… ...

 

10 years ago

Michuzi

PAN AFRICA FC NA CHANGANYIKENI FC,KUSAKA NAFASI YA KUCHEZA LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

Baada ya kumalizika kwa michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam na timu za FFU na Zakhem kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye makundi yao,kesho 20/03/2015 utapigwa mchezo mmoja wa kusaka nafasi ya kuungana na mabingwa hao kushiriki michuano ya ligi ya mikoa.Mchezo huo wa mtoano utakaopigwa katika uwanja wa Mizinga Kigamboni,utazikutanisha timu za Pan Africa dhidi ya Changanyikeni ambazo zimemaliza katika nafasi ya pili kwenye makundi yao.Kwa mujibu wa kamati ya mashindano ya chama cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashindano kusaka nafasi Ulaya yaendelea

Patashika ya kutafuta tiketi ya kufuzu mashindano ya soka ya mataifa ya Ulaya yanayotaraji kufanyika mwakani imeendelea jana Ulaya

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U yakwea nafasi ya tatu

Manchester United ilikwea hadi nafasi ya tatuLigi Kuu ya England baada ya kuwaadhibu wapinzani wao Southampton magoli 2 - 1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani