Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WENGI HAWAWEKI AKIBA - SABASABA MOSHINGI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta ya Akiba, Kenya, Bi.Anne Karanja, (Katikati), na Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Posta Uganda, Bw. Stephene Mukweli, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mkutano wan ne wa Bodi ya Wadhamini, ya Umoja wa Mabenki ya Afrika Mashariki, ASBEA, uliomalizika Novemba 13, 2015 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.  Wajumbe wakimsikiliza mtoa mada, Mkurugeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WENGI WAVUTIWA NA HUDUMA ZITOLEWAZO NA MFUKO WA GEPF NA KUJIUNGA KATIKA MPANGO WA HIARI WA KUJIWEKEA AKIBA

Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Fedha na Uchumi Bi Doroth Mwanyika akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa Hiari katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF. Afisa kutoka GEPF Bw Swinford Mndellah akitoa ufafanuzi kwa wanachama wa GEPF kutokaJeshi la Polisi juu ya huduma mpya zitolewazo na Mfuko.…

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mkuu awahimiza Watanzania kuweka akiba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa mkoa wa Ruvuma kuacha matumizi mabaya hya Fedha badala yake wawe na tabia ya kuweka akiba  ya fedha zao benki.

Waziri Mkuu Majaliwa wakati akizindua Benki ya Posta Mkoani Ruvuma amesema endapo mtu hataweka akiba atashindwa kufanya Mambo ya Maendeleo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa .Kasimu Majaliwa amesema kuweka Fedha Benki kuna kusaidia kuepukana na wezi, pia kunapunguza...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA UTT LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA



Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT, Martha Mashiku.Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT, Daudi Mbaga akizungumza na wateja waliotaka kujua faida watakazopata baada ya kujiunga na...

 

9 years ago

Michuzi

FNB TANZANIA YAHIMIZA WATANZANIA KUWEKA AKIBA ZAIDI

Meneja wa Wateja Binafsi wa First National Bank, Francois Botha na Meneja wa Usambazaji na Matawi wa benki hiyo wakizindua mpango maalum unaohamasisha Watanzania kujiwekea akiba na kujiwekea mustakabali salama kifedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es salaam leo Oktoba 1, 2015.
BENKI ya FNB Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujijengea mustakabali salama kifedha kwa kuendelea kuweka akiba zaidi benki kupitia fursa ya mpango mpya wa benki hiyo wa “Weka akiba na ushinde”.

Wito huo...

 

5 years ago

Michuzi

Timiza Akiba yawa suluhisho la kifedha kwa Watanzania

Ikiwa imekuwa kwa kiasi cha asilimia 30 kwa miezi mitatu pekee iliyopita, Timiza Akiba imeonyesha ni kwa kiasi ngani inaweza kuwa mkombozi kwa Watanzania kwa kujiwekea akiba ya fedha zao kwa njia rahisi, nafuu na salama kwa njia ya simu za mkononi.

Ikiwa imezindulia miaka miweili iliyopita kwa ushirikiano baina ya Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Airtel Money, Benki ya Letshego na watoa huduma ya teknolojia JUMO Tanzania, Timiza Akiba imekuwa ya kwanza Tanzania kwa kuwekeze fedha kwa...

 

11 years ago

Michuzi

banda la Wizara ya Fedha.lavutia wengi maonesho ya sabasaba

Mwananchi (kulia) akiwauliza maswali wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania(kushoto)  juu ya huduma mbalimbali za Benki hiyo leo jijini Dar es salam wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Tasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA )Mzee Boma(wa pili kulia) akisaini Kitabu cha wageni leo jijini Dar es salaam wakati yeye na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) DKT. Joseph Kihanda (kulia) walipotembelea  Banda la Wizara ya Fedha kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA PSPF YAFANA SABASABA WENGI WAJIUNGA NA MFUKO

·         ORIGINAL KOMEDI WAWA KIVUTIO
Siku ya PSPFiliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF ilifana na kuvutia mamia ya wananchi waliotembelea maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Siku hiyo ni maaluma kwa ajili ya kutoa elimu ya Mfuko wa PSPF kwa umma ili waweze kupata uelewa mpana wa sekta ya Hifadhi ya Jamii hususan bidhaa na huduma zinazotolewa na PSPF, kwa mwaka huu, PSPF ililenga kuhimiza watanzania kujiunga na...

 

10 years ago

Vijimambo

Utoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba

Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo. Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo.Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAVUTIA WATU WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kutembelea banda lao ili kupata huduma mbalimbali za Fedha.
Akizungumza katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba, Ofisa wa benki hiyo, John Titus amesema kuwa banda lao linashughulika na kufungua akaunti na kumuhudumia mteja.


Aliongeza kuwa Benki ya CRDB pia imeweka Mobile  Branch ambayo hufanya kazi zote zinazofanywa na benki hiyo ikiwemo huduma za kuweka fedha na kutoa.


Titus alisema pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani