Watendaji Njombe kutumia vema baraza la biashara
WATENDAJI wa Wilaya za Mkoa wa Njombe, wametakiwa kutumia fursa ya uwepo wa Baraza la Biashara la Mkoa kuunganisha sekta ya umma na binafsi kujadili kutatua changamoto zilizopo katika biashara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNjombe DC yaagizwa kuwachukulia hatua watendaji wanaosababisha hoja za mkaguzi
Na Amiri kilagalila,Michuzi TV-Njombe
Halmashauri ya wilaya ya Njombe imeagizwa kuwachukulia hatua watendaji wake wanaosababisha kwa hoja za kiukaguzi pamoja na kutakiwa kuzijibu kwa wakati.
Katibu tawala mkoa wa Njombe Catalina Revocati kwa niaba ya mkuu wa mkoa ametoa agizo hilo katika kikao cha baraza maalum la madiwani la kujadili hoja za CAG na kwamba pamoja na halmashauri hiyo kupata hati safi kwa miaka minne mfululizo lakini inapaswa kuzifanyia kazi hoja hizo huku mkuu wa wilaya ya...
9 years ago
StarTV15 Dec
CCM chakabidhi usafiri kwa watendaji Njombe ili kuleta ufanisi katika maendeleo
Katika kuhakikisha shughuli za Maendeleo zinafanyika kwa kufuata kauli mbiu ya Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Mapinduzi CCM, kimekabidhi vifaa vya usafiri kwa watendaji wake wa jimbo la Njombe vikiwemo .
Watendaji hao wakiwemo makatibu kata na viongozi wa matawi wamepewa pikipiki na baiskeli zenye thamani ya shilingi milioni 45 msaada ambao umetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga kutimiza ahadi aliyoitoa kabla ya uchaguzi.
Akikabidhi vifaa hivyo...
10 years ago
MichuziKATIBU MTENDAJI BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU MKUTANO WA NANE WA BARAZA HILO UTAKAOFANYIKA DESEMBA 16 ZANZIBAR
5 years ago
MichuziNjombe:Wazidi kulia na ugumu wa biashara
Hali ya biashara kwa wakazi wa mji wa Njombe imetajwa kuwa kwenye mkwamo kutokana na Ongezeko la kodi hasa katika ukadiriaji wa kodi hatua inayowalazimu baadhi ya wafanyabiashara kufunga milango yao.
Katika mkutano wa kwanza mwaka 2020 wa jumuiya ya wafanyabiashara mjini Njombe,baadhi ya wafanyabiashara akiwemo Agnetha Sanga na Nathaniel mgani wanakiri kuwa hali ya biashara kwa sasa imekuwa ngumu na mauzo kupungua kwa kiasi kikubwa.
Kutokana na hali hiyo serikali...
5 years ago
MichuziNjombe:Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya Nyumba
Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na msongo wa mawazo (SONONA)
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa Wilaya ya Ludewa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo Mh,...
5 years ago
MichuziBaraza la wazazi Njombe lapitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli
Akizungumza na Wajumbe wa Baraza hilo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Njombe Ndg, Hussein Mwaikambo Katibu wa Jumuiya hiyo alisema, katika Kipindi cha Miaka mitano Rais...
5 years ago
MichuziBaraza la madiwani Kalambo laazimia kuwafukuza kazi watendaji wezi
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mh. Daudi Sichon
Baadhi yaWataalamu waliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri kilichohusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo
5 years ago
MichuziMaafisa watendaji 7 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya wizi wa kutumia mashine za POS
Takukuru mkoa wa Njombe imewafikisha mahakamani wilaya ya Makete maafisa 7 watendaji wa vijiji kwa tuhuma ya wizi wa fedha Tshs.99,321,466/- za halmashauri ya wilaya ya Makete,ambazo zilikuwa ni makusanyo ya mapato ya halmashauri kwa kutumia mashine za POS (Point of Sale electronic Machine)
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Njombe Bi.Domina Mukama, amesema kesi zilizofunguliwa mahakamani za maafisa watendaji hao wa vijiji ni.
1.CC.12/2020 Jamhuri dhidi ya Chrispin...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA NJOMBE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA BIASHARA YA KILIMO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10