Watoto 130,000 waishi na VVU
TAKWIMU zinaonesha kuwa watoto 130,000 wana maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kati ya hao 39,317 wamefikiwa na kupatiwa huduma ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Raia 130,000 wa DRC wafukuzwa Brazaville
11 years ago
TheCitizen12 Mar
Over 130,000 miss admission at govt-aided schools
10 years ago
Habarileo17 Oct
'Watoto 130 hufa kila siku kwa lishe duni'
WAKATI Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi.
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Watoto wanaoishi na VVU wakosa kliniki
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_wPZiMksDwE/VGyB_eXuesI/AAAAAAAGyOY/MhWBs6EmAcQ/s72-c/images.jpg)
Watoto 130000 Wanaishi na Maambukizi ya VVU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_wPZiMksDwE/VGyB_eXuesI/AAAAAAAGyOY/MhWBs6EmAcQ/s1600/images.jpg)
TAKWIMU zinaonesha kwamba watoto 130000 wana maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) kati ya hao 39317 wamefikiwa na kupatiwa huduma ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo.
Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Pindi Chana wakati akifungua kongamano la nne la kitaifa la VVU na UKIMWI kwa watoto linalofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere uliopo jijini Dar-es-salaam.
Dkt . Chana alisema...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Uchunguzi na matibabu ya VVU kwa watoto
9 years ago
StarTV30 Nov
Zaidi watu 1,000 warejea kwenye tiba mkoani Singida Kupunguza Makali Ya Vvu
ZAIDI ya watu elfu moja wanaoishi na Virusi vya ugonjwa wa UKIMWI katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, wamerejea kwenye tiba baada ya kuacha kabisa kuhudhuria Kliniki maalum za kuwahudumia miaka mitatu iliyopita kutokana na sababu mbalimbali.
Sababu za kuacha dawa za kufubaza Virus zinatajwa kuwa ni Kikombe cha Babu wa Loliondo, unyanyapaa na wengine kudhani kuwa wamepona hivyo kuendelea kudhofika hadi walipofikiwa na mpango wa huduma majumbani unaoendesha na Shirika la...
10 years ago
Habarileo19 Nov
Watoto, wanaoishi na VVU waongoza mahitaji ya damu
ASILIMIA 90 ya damu yote inayohitajika kwa watoto, huwekewa watoto wanaoumwa malaria wakati asilimia 52 ya damu inahohitajika kwa watu wazima hutumiwa na wenye ugonjwa wa Ukimwi.
10 years ago
GPLKONGAMANO LA TAIFA LA WATOTO, VVU NA UKIMWI KUFANYIKA DAR