Watoto 55 kutibiwa India
>Wakati mamia ya Watanzania wakifungua zawadi za Krismasi walizopewa na ndugu na jamaa zao leo (jana), zaidi ya watoto 50 wenye matatizo ya moyo wamepata zawadi ya kipekee itakayobadili maisha yao na kuwapa mwelekeo mpya wa maisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Dec
Dk Bilal kuaga watoto 53 wanaokwenda kutibiwa India
WATOTO 53 wanaougua maradhi mbalimbali ya moyo wanaondoka nchini leo kwenda India kwa upasuaji ambapo wataagwa na.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vp13-KTbEwg/VJ1Xa7NGjgI/AAAAAAAG55E/OMxlomwBPZQ/s72-c/04.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA KUTIBIWA INDIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vp13-KTbEwg/VJ1Xa7NGjgI/AAAAAAAG55E/OMxlomwBPZQ/s1600/04.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WxaQK24V3Fc/VJ1XLNusR3I/AAAAAAAG540/U-KAebIquYU/s1600/03.jpg)
11 years ago
Habarileo24 Jan
Shekhe akwama kwenda kutibiwa India
SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.
11 years ago
Habarileo01 Mar
Mufti wa Tanzania aenda India kutibiwa
MUFTI wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba ameondoka nchini juzi kuelekea India kwa ajili ya matibabu.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq0N439G9Jp-hRSixV9jKRjex9HJINT6flXFDXrh1QpmSNaTIxXOo0BrzOpGfQytgbkTMdhyA9Wl7q3-5jCUy*io/mguu.jpg)
MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India
![](http://1.bp.blogspot.com/-CLSjlE6R4zk/VjYQmWjGcLI/AAAAAAAID2o/n_pkPSf_Oxw/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...
11 years ago
Habarileo04 Aug
Watoto 100 kupasuliwa moyo India
WATOTO 100 wenye maradhi ya moyo, wanatarajiwa kwenda India kwa matibabu ya moyo, ukiwemo upasuaji baada ya kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam. Kambi ya uchunguzi itafanyika mwezi huu.