Watoto wenye asili ya Tanzania wanyakua vikombe katika SETLC FALL JR. OPEN 2015 Washington, DC
![](http://3.bp.blogspot.com/-Dkh13Rezsao/Vf3488ulEHI/AAAAAAAD7yU/GJ0Eon30ngg/s72-c/CAM00921.jpg)
Vijana wenye asili ya Kitanzania Briana Kagemuro na Bryan Mwombeki wameonyesha umahiri wa mchezo wa Tennis uliofanyika leo Jumamosi, September 19,2015 katika viwanja vya nyumbani kwao South East Tennis and Learning Center, South East Washington, DC.Briana Kagemuro alikuwa katika kinyanganyiro cha Wasichana wenye umri wa miaka 12 Singles (Girls 12 singles) ambapo alimshida Isabella De Leo 6-4,6-4; Cassi Chen 7-6,6-3,10-6 na Asha verma 6-4,6-4Naye Bryan Mwombeki alipata kombe lake la ushindi la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Dkh13Rezsao/Vf3488ulEHI/AAAAAAAD7yU/GJ0Eon30ngg/s72-c/CAM00921.jpg)
BRIANA NA BRYAN WANYAKUA KOMBE KATIKA MCHEZO WA TENNIS MASHINDANO YA SETLC FALL JR. OPEN 2015 WASHINGTON, DC
Briana Kagemuro alikuwa katika kinyanganyiro cha Wasichana wenye umri wa miaka 12 Singles (Girls 12 singles) ambapo alimshida Isabella De Leo 6-4,6-4; Cassi Chen 7-6,6-3,10-6 na Asha verma 6-4,6-4.
Naye Bryan Mwombeki alipata kombe lake la ushindi...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iTv8zHc-VJM/Vmm2GVZIs9I/AAAAAAAILhE/S1CmULdn0zk/s72-c/us1.png)
MHE.BALOZI WILSON M. MASILINGI ATEMBELEA KITENGO CHA VISA KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON D.C, SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU, TAREHE 9 DISEMBA, 2015
11 years ago
MichuziTWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI
10 years ago
BMI Experts18 Dec
Tanzania's growth rate likely to fall in 2015
Daily Times Nigeria
IPPmedia
Tanzania's economy is likely to experience a fall in real growth rate from the current 7 percent to 6.9 per cent in 2015, experts have warned. This is associated with the IPTL power scandal troubling the government, which has led to the withholding of funds by ...
Tanzania's AG, Frederick Werema, quits amid corruption rowDaily Times Nigeria
Tanzania Attorney General Resigns Over Graft...
10 years ago
MichuziNHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Fawopa-Tanzania: Tuwajali watoto wenye maisha magumu
UMASKINI uliokithiri nchini hasa katika ngazi ya familia ndio chanzo cha kuwepo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika zinazokabiliwa na wimbi kubwa...
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Maadhimisho ya siku ya watu na watoto wenye mtindio wa Ubongo kufanyika Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.
Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza...
9 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10