Watu huru kutumia Twitter Uturuki
Maafisa wa utawala nchini Uturuki wameondoa marufuku ya Twitter baada ya mahakama kutoa uamuzi huo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mtandao wa twitter kufungwa Uturuki
Serikali ya Uturuki imeamua kusitisha shughuli za mtandao wa Twitter nchini humo ikidai ulikaidi amri ya mahakama
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Twitter yapigwa faini na serikali Uturuki
Mamlaka ya mawasiliano nchini Uturuki imeitoza Twitter faini ya lira 150,000 lira (£33,000) kwa kukosa kuondoa “propaganda kutoka kwa magaidiâ€.
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
Mateka 49 wa Uturuki waachiliwa huru
Waziri mkuu nchini Uturuki amesema kuwa mateka 49 ambao walikuwa wametekwa na kundi la Islamic state wameachiliwa huru.
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Marekani kutumia vituo vya Uturuki
Uturuki imekubali Marekani kutumia vituo vyake vya kijeshi katika kampeni ya kupambana dhidi ta wapiganaji wa Islamic State.
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Uturuki kuzuia ndege kutumia anga lake
Waziri wa masuala ya kigeni wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema hawategemei kuongoza mashambulizi ya ardhini dhidi ya IS
11 years ago
Mwananchi17 May
Pistorius kutumia karata ya ‘uchizi’ kuwa huru?
Jaji anayeendesha kesi ya mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius ameamuru Pistorius afanyiwe uchunguzi wa akili kwa muda wa mwezi mmoja, hatua ambayo imetoa nafasi kwa mwanariadha huyo kupumua kwa muda.
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Twitter kuwafuta kazi watu 336
Mtandao wa Twitter umesema kuwa unapunguza kazi 336 ikiwa ni asilimia 8 ya ajira zote duniani za mtandao huo kama mpango wa kuimarisha biashara yake.
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Mlipuko waua watu 27 Uturuki
Watu 27 wameuawa na 100 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea muda mchache uliopita katika mji wa Uturuki wa Suruc.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Turkey2343.jpg)
MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI
Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio. Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio. Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayo Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania