Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu wa jinsia moja kuchunguzwa, Uganda.

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ataka hisia za watu wa jinsia moja kuchunguzwa .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja watoroka Uganda

Mamia ya watu wa jamii ya jinsia moja nchini Uganda wamelitoroka taifa hilo ili kukwepa ubaguzi na mateso.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapenzi ya jinsia moja haramu Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada unaotoa adhabu kali kwa watakaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

 

11 years ago

BBCSwahili

Afueni kwa wapenzi wa jinsia moja Uganda

Mahakama ya kikatiba Uganda imefutilia mbali sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wadai kuchunguzwa Uganda

Rais Yoweri Museveni amelalamikiwa na baadhi ya wapinzani kuwa anawachunguza kwa maslahi yake binafsi

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja kuwakilishwa A.K

Chama kipya kinachowatetea wapenzi wa jinsia moja kitasimamisha wagombea katika uchaguzi mkuu nchini Afrika Kusini mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenyatta: Hatutajadili jinsia moja

Rais Uhuru Kenyatta amekariri kuwa swala la jinsia moja halitajadiliwa katika mkutano wake na rais Barack Obama

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zapingwa Uingereza

Maaskofu katika kanisa moja nchini Uingereza wawaambia viongozi wa dini kwamba hawataruhusiwa kuingia katika ndoa za jinsia moja

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zafanyika Uskochi

Harusi ya kwanza ya watu wa jinsia moja imefanyika huko Uskochi .

 

10 years ago

GPL

MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015  wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani