Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU ZAIDI YA 800 WAPOTEZA MAISHA KWA JOTO KALI PAKISTAN

Mmoja wa majeruhi wa joto nchini Pakistan akipatiwa huduma ya kwanza. WATU zaidi ya 800 wamefariki dunia mpaka sasa kutokana na hali ya joto kali kwenye Mkoa wa Sindh uliopo kusini mwa nchi ya Pakistan. Zaidi ya watu 780 wamefariki huko Karachi huku 30 wakiripotiwa kufariki kutoka sehemu nyingine mkoani humo. Taarifa kutoka katika hospitali kadhaa mkoani humo zimeripoti kuelemewa baada ya mochwari zake kujaa miili hivyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Joto kali lawaua watu 800 Pakistan

Takriban watu 800 wamefariki nchini Pakistan kutokana na joto kali.Tayari maeneo ya kuhifadhi wafu yamejaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Joto kali lawaua watu 700 Pakistan

Waziri mkuu nchini Pakistan Nawaz Sharrif ametaka hatua za dharura kuchukuliwa huku idadi ya watu waliofariki kutokana na joto katika mkoa wa kusini wa Sindh ikifikia 700.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya Watu 60 wapoteza maisha Nigeria

Zaidi ya Watu 60 wapoteza maisha kutokana na mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa Boko Haram

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya Watu 20 wapoteza maisha Misri

Zaidi ya Watu 20,Mashabiki wa timu ya Zamalek ya nchini Misri wapoteza maisha nje ya Uwanja jijini Cairo

 

10 years ago

Vijimambo

IDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000

 Idadi ya vifo vinavyotokana na joto kali nchini India vimepita zaidi watu 1,000 huku hali ya joto ikikaribia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo. Vingi ya vifo vimetokea katika jimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambapo watu 1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita. Ripoti zinaeleza watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali huko Bengali Magharibi pamoja na Orissa. Hali ya joto hilo inatarajiwa kupungua katika siku chache zijazo.


 

9 years ago

Bongo5

Video: Watu zaidi ya 100 wapoteza maisha baada ya kuangukiwa na crane kwenye msitiki wa Mecca

Takribam watu 107 wamepoteza maisha na wengine 238 kuumia baada ya crane kuanguka kwenye msikiti mkuu wa Mecca, Saudi Arabia. Kwa mujibu wa mashuhuda walioiambia Al Jazeera, crane huyo ilianguka jana mida ya jioni. Mamia ya watu waliojeruhiwa wakipewa huduma ya kwanza Msikiti huo ulikuwa umejaa watu pamoja na kuwa tukio hilo lilotokea kabla ya […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus China : Watu 97 wapoteza maisha yao katika siku iliotajwa kuwa mbaya zaidi

Takriban watu 908 wamefariki nchini China - licha ya idadi mpya ya maambukizi kupungua

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 40 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MAFINGA, IRINGA, RAIS KIKWETE AOMBOLEZA

 Kontena la Lori hilo likiwa limewekwa pembeni baada ya kuondolewa kwenye eneo la Ajali.
Picha na mdau Baraka wa Chibiriti
Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.


Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa...

 

11 years ago

GPL

42 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI PAKISTAN

Tela la trekta likiondolewa eneo la ajali. Ramani ikionyesha eneo ilipotekea ajali. WATU 42 wamepoteza maisha wakati 17 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likielekea Karachi nchini Pakistan kugongana na trekta lililokuwa na tela. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto 14 na wanawake 13. Ajali hiyo imetokea leo katika mji wa Sukkur, umbali wa kilomita 425 kutoka Karachi. Dereva wa basi amefariki papo hapo wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani