Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUHUMIWA KESI YA MTOTO WA BOKSI KUSOMEWA MASHITAKA UPYA

Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya kuruka.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa kesi mtoto wa boksi watinga Polisi

WASHITAKIWA watatu wanaokabiliwa na shitaka la kumfungia katika boksi mtoto Nasra Rashid, jana walipelekwa Kituo Kikuu cha Polisi mjini hapa kwa mahojiano na uchunguzi zaidi. Ombi la kutaka washitakiwa hao;...

 

11 years ago

Mwananchi

Zomeazomea, vilio vyatawala kesi ya mtoto wa boksi

Umati wa watu, wengi wao wakiwa wanawake jana ulifurika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, kufuatilia kesi ya kula njama na kumfanyia vitendo vya ukatili mtoto Nasra Rashid (4) wakati wa uhai wake inayowakabili watu watatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa milipuko wapewa hati ya mashitaka

WASHITAKIWA wanaosadikiwa kujihusisha na makundi ya kigaidi nchini likiwemo la Al-Shabaab, wanaodaiwa kuhusika na mlipuko kwenye baa ya Arusha Night Park wamepatiwa hati ya mashtaka yanayowakabili (charge sheet). Watuhumiwa hao,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Mtoto wa boksi’ hatunaye

Mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi akiwa na umri wa miezi tisa, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa ajili ya uchunguzi na matibabu. Taarifa za...

 

11 years ago

Habarileo

Buriani 'mtoto wa boksi'

MSIBA wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa zaidi ya miaka mitatu, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, umeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini. Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

'Mtoto wa boksi' yupo Muhimbili

MTOTO mwenye umri wa miaka minne aliyefungiwa ndani ya boksi kwa zaidi na miaka mitatu mkoani Morogoro, amehamishiwa katika Hos- pitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uchunguzi na tiba zaidi huku wataalamu wakikuna vichwa namna ya kumrudishia afya yake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majibu ya mtoto wa boksi leo

MAJIBU ya vipimo vya afya vilivyofanyika juzi kwa mtoto  Nasra Rashid (4), aliyefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, kwa muda wa miaka minne, yanatarajiwa kutolewa leo. Mtoto huyo awali alilazwa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli ya mwisho ya ‘mtoto wa boksi’

>Mtoto Nasra Rashid Mvungi (4), aliyefichwa kwenye boksi kwa miaka minne, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na katika saa zake za mwisho za uhai wake alisikika akitamka maneno “sitaki waje kunichukua”.

 

11 years ago

Habarileo

Mapya yaibuka mtoto wa boksi

UTATA umeendelea kugubika tukio la mtoto kukutwa kwenye boksi katika mtaa wa Azimio mjini Morogoro akiwa ameishi humo kwa miaka mitatu, ambapo sasa imebainika kuwepo kwa shimo lililojaa maji jirani na alipokuwa amefungiwa mtoto huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani