Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watumishi TRA sasa kuripotiwa

>Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imelazimika kuwapa wafanyabiashara wa Mkoa wa Mbeya namba za simu watakazotumia kutoa taarifa za watumishi wa mamlaka hiyo waliojipatia mali kwa kipindi kifupi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Waziri Mkuu awasimamisha kazi watumishi wengine watatu TRA

Kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano, imeendelea kuwasomba watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya jana Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwasimamisha kazi wengine watatu na kufanya jumla ya waliosimamishwa kuwa tisa.

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATUMISHI NANE WA TRA WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, Tiagi Masamaki (katikati) na washitakiwa wenzake wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana baada ya kusomewa mashitaka yao.

MAOFISA wanane wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akiwemo Kamishna wa Forodha wa mamlaka hiyo Tiagi Masamaki (56) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutoa makontena 329 bandarini bila ya kulipiwa kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bilioni 12.7 za kitanzania.
Ukimuondoa ...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA

SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambao jana iliamriwa kwamba watahamishiwa mikoani. Watumishi hao ni Bw. Anangisye Mtafya, Bw. Nsajigwa Mwandengele na Bw. Robert Nyoni.
Uamuzi huo umetolewa leo (Jumamosi, Novemba 28, 2015), na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili. Kama ilivyo kwa wenzao sita waliosimamishwa kazi jana (akiwemo aliyekuwa Kamishna Mkuu), nao pia hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje...

 

11 years ago

Mwananchi

TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD

Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).

 

11 years ago

Habarileo

Wahalifu wanaotubu kanisani kuripotiwa Polisi

KANISA Anglikana linakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kulegeza masharti ya sheria zake ili wachungaji waweze kuripoti uhalifu wanaousikia kutoka kwa waumini wao wanaoungama. Utaratibu huo umeshaanza kutekelezwa na Kanisa Anglikana Australia ambalo limeruhusu wachungaji kuripoti polisi uhalifu uliobainika wakati wa maungamo ya waumini.

 

10 years ago

Vijimambo

KUFUATIA KURIPOTIWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU KUINGIA MANISPAA YA DODOMA WANANCHI BADO HAWAJAWA NA ELIMU JINSI YA KUKABILIANA NAO

  Baadhi ya  akina mama na watoto wao wakitafutia chochote katika Dampo ambalo si Rasmi lililopo pembezoni mwa Barabara ya 12 karibu na kituo cha Daladala ziendazo Nkuhungu Jamatini bila kujali maambukizi ya magonjwa, huku wahusika wakioneka kutokujali


wakati ugonjwa wa kipindupindu ukiwa unazidi kushika kasi  katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam huko mkoani dodoma nako inasadikika kwamba ugonjwa huo umekwisha gonga hodi huku wakazi wa maeneo mbalimbali wakionekana kusambasa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali

4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO

NAIBU Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora.Dkt Mary Mwanjelwa amewataka watumishi House kuweka kipaumbele Kwa watumishi wa umma kuweza kupata nafasi ya kununua nyumba ambazo zinajengwa na taasisi hiyo ya umma.
 Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa  watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani