Wauguzi Zanzibar wahimizwa kufuata misingi ya taaluma
Katika kuhakikisha jamii inapatiwa huduma bora hususani za afya wanafunzi wa chuo cha sayansi ya afya Mbweni kilichopo visiwani Zanzibar wametakiwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kuihudumia jamii kwa kufuata misingi ya taaluma zao.
Hali hiyo itasaidia kupunguza malalamiko kwa wagonjwa ambao kwa kiasi kikubwa kada ya uuguzi ndiyo inayolalamikiwa kutokana na baadhi ya wahudumu wa afya kutoa lugha chafu pale wanapowahudumia wagonjwa.
Baadhi ya kazi ...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV07 Oct
Serikali Zanzibar kufuata misingi ya utawala bora
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kufuata misingi na taratibu za kisheria katika utawala bora sambamba na kuleta maendeleo kwa watu wote bila kujali dini, rangi au itikadi ya kisiasa.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dokta Ali Mohamed Shein anasema si vyema wanasiasa kutumia majukwaa kuwatisha watu au kuwataja vibaya baadhi ya viongozi kwa kisingizio cha kampeni kwani Serikali ipo na inaweza kumchukulia hatua mtu yeyote atakaonekana anatishia amani na utulivu uliopo...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
CHADEMA wahimizwa kusimamia misingi ya chama
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ukonga, Dar es Salaam, kimewataka viongozi wake kusimamia misingi ya chama badala ya kufanya kazi kwa mazoea. Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu wa...
10 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.
Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.
Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.
Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.
Aidha katika...
9 years ago
StarTV15 Nov
Wataalamu wa afya wahimizwa kutumia taaluma zao kwakufanya tafiti
Wataalamu wa Sekta ya afya nchini wanapaswa kutumia taaluma yao kutafiti na kugundua visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii hali itakayosaidia Serikali kukabiliana na magonjwa husika.
Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengi yamekuwa yakiikumba jamii kutokana na kukosekana kwa watalaamu wa kubaini visababishi vya maradhi hayo.
Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha Sayansi ya tiba cha KCMU College kilichopo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro Prof.Elgibert Kessy anaona ipo haja kwa...
10 years ago
StarTV12 Oct
Viongozi wa Dini wahimizwa kufuata sheria za nchi
Viongozi wa Dini nchini wametakiwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria za nchi wakati wanapotaka kusajili taasisi zao kwa ajili ya kutoa huduma za kiroho.
Tamko hilo limetolewa kwa madai kuwa baadhi ya Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste ambao hawako kwenye Baraza la Makanisa nchini wanakiuka taratibu za usajilli.
Maaskofu hao wamelilaumu Baraza la Makanisa ya Kipentekoste na Serikali kuwa wanazuia usajili kukiwa na tetesi ya kutaka kufutwa kwa baadhi ya taasisi.
Akijibu...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Watumishi wa kada za afya nchini watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili na viapo vya taaluma zao
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.
Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa Geita.
Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,...
5 years ago
Michuzi
WAFANYABIASHARA WA DAWA NA VIFAA TIBA WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA
Hayo yamesemwa jana na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini Proches Patrick wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, alisema kumekuwepo na baadhi ya wafanya biashara wasio...
5 years ago
Michuzi
WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...