CHADEMA wahimizwa kusimamia misingi ya chama
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ukonga, Dar es Salaam, kimewataka viongozi wake kusimamia misingi ya chama badala ya kufanya kazi kwa mazoea. Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Nov
Wauguzi Zanzibar wahimizwa kufuata misingi ya taaluma
Katika kuhakikisha jamii inapatiwa huduma bora hususani za afya wanafunzi wa chuo cha sayansi ya afya Mbweni kilichopo visiwani Zanzibar wametakiwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kuihudumia jamii kwa kufuata misingi ya taaluma zao.
Hali hiyo itasaidia kupunguza malalamiko kwa wagonjwa ambao kwa kiasi kikubwa kada ya uuguzi ndiyo inayolalamikiwa kutokana na baadhi ya wahudumu wa afya kutoa lugha chafu pale wanapowahudumia wagonjwa.
Baadhi ya kazi ...
9 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.
Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.
Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.
Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.
Aidha katika...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3IXg8ym2_l4/VkXLDr34JnI/AAAAAAAIFss/e6E8hRt5gqk/s72-c/Cholera_bacteria_SEM-640x360.jpg)
WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI IPASAVYO -KATIBU MKUU TAMISEMI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3IXg8ym2_l4/VkXLDr34JnI/AAAAAAAIFss/e6E8hRt5gqk/s320/Cholera_bacteria_SEM-640x360.jpg)
Katika agizo hilo la Serikali ametoa wiki mbili kwa watendaji wote kuhakikisha wanaliweka jiji katika hali ya usafi na endapo halitatekelezwa hatua zitachukuliwa dhidi yao.
Akizungumza na watendaji wa Serikali leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!
Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly
[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.
Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...
10 years ago
Habarileo29 Sep
Chadema wahimizwa kushiriki uchaguzi
MAKAMU Mwenyekiti Taifa kupitia Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Patrick ole Sosopi ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho, kushiriki kuchagua au kuchaguliwa katika chaguzi, zitakazofanyika nchini, ukiwemo wa Serikali za Mitaa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-k4-DWiV8i2g/VQ66amVN7MI/AAAAAAAHMLU/2c1aSP9zAtU/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Francois Botha na rais wa chama cha ngumi cha dunia cha WBF, Howard Goldberg kuwasili nchini tayari kwa kusimamia pambano la masumbwi machi 27
![](http://2.bp.blogspot.com/-k4-DWiV8i2g/VQ66amVN7MI/AAAAAAAHMLU/2c1aSP9zAtU/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
Botha atawasili nchi kwa mara ya pili kwa mualiko maalumu wa Kampuni ya Hall Of Fame inayoandaa mapambano ya ngumi ndani na nje ya nchi. Nguli huyo wa masumbwi anatarajiwa kuwasili saa 12 jioni na ndege ya Shirika la ndege la Afrika Kusini sambamba na...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Chadema: Wanaoasi chama hatuwabembelezi
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Diwani Chadema akisaliti chama
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
Chadema chama tawala Arusha
SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa chama tawala mkoani Arusha ilihitimishwa rasmi Jumatatu
Paul Sarwatt