Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema: Wanaoasi chama hatuwabembelezi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa hakiwabembelezi wanachama wanaoasi kwakuwa wanakuwa wamejivua nguo hadharani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Diwani Chadema akisaliti chama

Diwani wa Kata ya Masoko, Mbeya Vijijini kupitia Chadema, Edward Mwampamba , juzi alikiweka njiapanda chama chake baada ya kujitoa katika kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na kumsifia mgombea wa CCM kwamba anafaa kupewa kura zote.

 

9 years ago

Raia Mwema

Chadema chama tawala Arusha

SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa chama tawala mkoani Arusha ilihitimishwa rasmi Jumatatu

Paul Sarwatt

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wahimizwa kusimamia misingi ya chama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ukonga, Dar es Salaam, kimewataka viongozi wake kusimamia misingi ya chama badala ya kufanya kazi kwa mazoea. Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

CHADEMA KUCHANGIWA NA WANANCHI KUIMARISHA MFUKO WA CHAMA

Baada ya kuzindua programu ya ya siasa mtandaoni, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kinampango wa kuwashawishi wananchi kukichangia na kufikisha shilingi bilioni moja kila mwezi.

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE


  Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...

 

11 years ago

GPL

CHADEMA YATOA TAMKO KUFUATIA MAUAJI YA MWENYEKITI WA CHAMA TEMEKE

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko taarifa za tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick. Chama kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano na Uhusiano, mbali ya kukemea kwa nguvu zote tukio hilo la kihuni na mengine ya namna hiyo yenye lengo ya ukatili dhidi ya binadamu, katika hatua ya sasa kinapenda kusema yafuatayo juu ya tukio hilo ovu ;...

 

10 years ago

GPL

MGEJA, GUNINITA WAKITOSA CHAMA CHA MAPINDUZI, WAJIUNGA CHADEMA

Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Sheikh, Rajab Katimba (kushoto) akiwa na  aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga ambaye ameachana na chama hicho, Khamis Mgeja,  na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ambaye naye amehamia Chadema. Mgeja akionyesha ishara ya Chadema baada ya kutoa tamko la kujiuzulu. Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo. Baadhi ya makada wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani