WAVUNAJI WA MISITU KATIKA MASHAMBA YA SERIKALI KUPATIWA MKATABA WA MIAKA MITATU, MTAJI WA BIASHARA NA MASOKO YA MBAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-dZ-1iKB817Q/XutIBUSJvfI/AAAAAAALubE/V2dDvrhikgYwvh3d6c2tdasDRyVDe-EbACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B1.13.49%2BPM.jpeg)
KATIKA kile alichoeleza kuwa ni kuimarisha sekta ya misitu ili iweze kutoa mchango unaostahili kwa jamii na taifa kwa ujumla, Kamishna Mhifadhi wa Misitu, Profesa Dos Santos Silayo amesema Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS)umeingia makubaliano ya miaka mitatu ya upatikanaji wa malighafi ya miti, kutoa mitaji na kuwatafutia masoko ya mbao wafanyabiashara wanaovuna misitu katika mashamba ya miti ya serikali.
Prof. Silayo amesema hayo jana mjini Dodoma katika mkutano na wadau wa sekta ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu ya mbao na mazao ya misitu
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC....
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Dk30GyOVLII/XrEDiPxhLdI/AAAAAAALpI8/Cdqc-NxXpQA6KQk5MBDJGESTcxtGTQExgCLcBGAsYHQ/s72-c/6c038d41-0e82-4cfa-b0af-64894c366946.jpg)
WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA WALEZEA ULIVYOJIPANGA KUKABILI MAJANGA YA MOTO KWENYE MISITU,MASHAMBA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Dk30GyOVLII/XrEDiPxhLdI/AAAAAAALpI8/Cdqc-NxXpQA6KQk5MBDJGESTcxtGTQExgCLcBGAsYHQ/s640/6c038d41-0e82-4cfa-b0af-64894c366946.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-V_m9qjEUfB0/XrEDiooPDUI/AAAAAAALpJA/Ufkc1Pnu208VHE9s3dQPSytZdO724r8XgCLcBGAsYHQ/s640/6ef4f28c-b6fd-4522-ad3f-11392cd6e632.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-XEs1bWkQL4g/XrEDij6nPcI/AAAAAAALpJE/GOrQ6fEVAAUJUvhq-FHGpdHYv_1eJG89wCLcBGAsYHQ/s640/8cf1c48a-e21b-4ee2-bd99-289d72365fe9.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-KSzX2j5ZdwM/XrEDhoZpu8I/AAAAAAALpI4/dZhCZ9W8D60XXd2-YBKN3QnfTzx12KuGACLcBGAsYHQ/s640/60d6d58c-80c7-4eb1-b962-968744d22442.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NdgjiYqvIOE/VcumeW9RSrI/AAAAAAAHwQQ/t34Bzfu3T5g/s72-c/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu
![](http://1.bp.blogspot.com/-NdgjiYqvIOE/VcumeW9RSrI/AAAAAAAHwQQ/t34Bzfu3T5g/s640/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ax8VovP-9xo/Vcumfyktc9I/AAAAAAAHwQY/VY4_565eQmw/s640/unnamed%2B%252858%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/XmJvi-d5UFM/default.jpg)
11 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU YA VIKWAZO VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fDbPwrY2UuouF-4am*vtP2VQ6wfyVYW6tJGIIPIobItWCUZ-5btwe1NgCqK3IIYbLRgQXruwpoXS2YwrNxg6vL/PicMonkeyCollage.jpg?width=650)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d7P28OdIsnU8VPAY3Ou2ln0yDMGJY-5xKclgGQhltQN4IJDeRgI9uQwtCl27-4MCu01vlrKunK64F7wkwj7cvJ9/seedmoney.jpg?width=650)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10