Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili wajinyonga Dar

WATU wawili wamefariki dunia Jijini Dar es Salaam, katika matukio mawili tofauti ya kujinyonga likiwemo lililosabishwa na migogoro ya kifamilia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alimtaja aliyejinyonga...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wawili wajinyonga kwa mashuka

WATU wawili wamekufa dunia kwa kujinyonga katika maeneo tofauti jijini Dar es Salaam, ikiwemo aliyejinyonga kwa kutumia shuka alilotundika darini.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa Dar

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam likiwemo la mtoto kutumbukia kwenye karo la maji machafu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Kamanda Msaidizi wa Polisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa maji Dar

MWANAFUNZI wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Galanos, mkoani Tanga, Abdulrazaki Mziray (19), amekufa maji wakati akiogelea. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema tukio hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa ajalini Dar

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia juzi jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema kuwa juzi saa 4 asubuhi, katika Barabara ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yaua majambazi wawili Dar

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, wamefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG namba BA172288 na risasi 10 wakati wa mapambano makali ya ana kwa ana kati ya polisi na majambazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya daladala yaua wawili Dar

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 wamejeruhiwa, baadhi yao vibaya baada ya daladala walilopanda kutoka Tegeta kwenda katikati ya jiji kuacha njia, kugonga mti na kisha kupinduka wakati likijaribu kulikwepa lori eneo la Mbuyuni jana asubuhi.

 

5 years ago

Michuzi

DAR YABAKI NA WAGONJWA WAWILI WA CORONA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

WAZIRI wa afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa hadi sasa Mkoa wa Dar es Salaam umesalia na wagonjwa wawili pekee wa virusi vya Corona (COVID-19) waliopo katika hospitali za umma na binafsi na kueleza kuwa hali hiyo imepelekea kurejeshwa kwa huduma katika hospitali ya Amana pamoja na kituo cha Mloganzila.

Akizungumza leo jijini Dar  es Salaam wakati akifungua kituo cha kitaifa cha Afya Mtandao cha Wizara ya Afya kilichopo...

 

10 years ago

Mtanzania

Watuhumiwa wawili wa ugaidi kortini Dar

Waandishi Wetu, Dar na Tanga
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kutoa mafunzo ya ugaidi kwa vijana wa Tanzania mkoani Tanga.

Mmoja wao anaelezwa kuwa alikuwa pia akitoa mafunzo ya jeshi kwa kundi la Hizbul al lililotaka kuipindua serikali ya Somalia mwaka 2010.

Washtakiwa hao, Ally Nassoro au Dk. Sule na Juma Zuberi au Kitambi, walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa.

Wakili wa Serikali Mwandamizi, Peter Njike akisoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani