Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazawa Mwanza wahimizwa kusaidia wilaya

WAFANYABIASHARA wazawa wametakiwa kuwekeza kwenye wilaya zao ili kuweza kuzisaidia shule za msingi zinazowazunguka ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazokabili shule hizo. Wito huo ulitolewa mjini hapa jana na Ofisa Elimu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Derefa: Uchumi umekuwa wa kusaidia wageni badala ya wazawa

Tangu Tanzania ipate uhuru, Jimbo la Shinyanga Mjini limeongozwa na wabunge tisa ambao ni John Rupia, Bakari Msonde, Anna Tito Kachima, Ntemi Nyanda, Haninghton Mfaume, Paul Makune, Leonard Derefa, Dk Charles Mlingwa na sasa Stephen Masele.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wahimizwa kusaidia makundi yenye mahitaji maalumu

DSC05830

Mwanyekiti wa Umoja wa Wanawake watumishi kanisa la Pentekoste (UWW) mjini Singida, Lessi Jared (kushoto) akimkabidhi vifaa tiba Kaimu mganga mfawidhi hospital ya mkoa ya mjini Singida, Dk.Daniel Tarimo.Vifaa tiba  hivyo vingi vikiwa kwa matumizi ya chumba cha upasuaji imedaiwa kuwa gharama yake ni mamilioni ya shilingi, vimetolewa na shirika lisilo la kiserikali la waumini wanawake kanisa Pentekoste nchini Denmark-Heart to Heart.

DSC05834

Mganga Kaimu mganga mfawidhi hospitali ya mkoa mjini...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAWA WAASWA KUONDOA HOFU YA KUCHANGIA MAENDELEO YA WILAYA YA IRAMBA MKOANI SINGIDA

SERIKALI wilaya ya Iramba mkoani Singida, imetoa wito kwa wazawa wa ndani na nje wa wilaya hiyo, waondoe hofu kuchangia maendeleo ya wilaya yao kwa madai itahusishwa na vitendo vya rushwa na badala yake waongeze kasi zaidi kuchangia kwa hali na mali ili wilaya iendelee kupaa kimaendeleo.

Wito huo umetolewa juzi na mkuu wa wilaya hiyo, Emmanuel Luhahula, wakati akitoa shukrani na pongezi kwa wizara ya maji kutoa msaada wa vifaa vya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona. Msaada huo...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanza wahimizwa uelewa wa sheria

WANANCHI jijini Mwanza hawana uelewa kuhusiana na utaratibu wa kuomba kufuta kesi baada ya siku 60 za uchunguzi iwapo hakuna dalili za kupatikana kwa ushahidi. Hayo yalibainishwa jana na Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Mwanza, Amri Flugence wakati wa mahojiano na waandishi wa habari juu ya uelewa wa msaada wa kisheria kwa jamii.

 

11 years ago

Mwananchi

Jamii yatakiwa kusaidia watoto wa kike Mwanza

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametoa wito kwa jamii nchini kuwasaidia watoto wa kike kukabiliana na changamoto za maisha na kuacha kujiingiza kwenye vitendo viovu.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KINGU ATOA SARUJI MIFUKO 50 KUSAIDIA KUANZA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU WA UVCCM WILAYA YA IKUNGI



  Mbunge  wa  Singida Magharibi,  Elibariki Kingu ( kushoto) akikabidhi lisiti ya ununuzi wa mifuko 50 ya saruji  kwa Mwenyekiti  wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Ikungi, Japhari Dude, yenye thamani ya shilingi 800,000 ili kusaidia uanzaji wa ujenzi wa nyumba ya katibu wa umoja huo katika hafla iliyofanyika jana  Viwanja vya Ofisi ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi. Kulia ni Katibu wa UVCCM wa wilaya hiyo, Himidi  Tweve.  Mbunge  wa  Singida Magharibi, ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA ACHANGIA MILIONI MOJA KUSAIDIA KUUNDA UMOJA WA MSASANI JOGGING CLUB

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza na wana jogging wa Kata ya Msasani Dar es Salaam leo asubuhi kwenye hafla ya kutimiza miaka mitatu tangu ianzishwe Msasani Jogging Club. Viongozi mbalimbali meza kuu. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kunduchi Kwanza Jogging, Asia Mohamed, Katibu Msaidizi wa Msasani Jogging, Alhaji Seif Muhele, DC Makonda, Diwani wa Kata ya Msasani, Christina Kirigiti, Mwenyekiti wa Msasani Jogging Club, Mohamed Hassan na Makamu Mwenyekiti, Pili...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanza yasambaza mbegu za pamba kila wilaya

Pamba ikiwa shambaniUMLA ya tani 1,295.65 za mbegu za pamba zimesambazwa kwa wakulima wa pamba kwa wilaya zote za mkoa wa Mwanza ikiwa ni sawa na asilimia 65.27 ya mgawo kutoka Bodi ya Pamba (TCB).

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

 Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro(wa tatu kushoto walioketi) na Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (wa pili walioketi kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa shirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani