Wazawa wanunua nusu ya hisa Tanzanite One
Kampuni ya wazawa ya uchimbaji wa madini ya Sky Associates Group (LTD) imenunua asilimia 50 ya hisa zilizokuwa zinamilikiwa na Kampuni ya Richland Resources ya Uingereza ndani ya Tanzanite One katika migodi ya Kitalu C cha machimbo ya Tanzanite, Mererani, Wilaya ya Simanjiro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI
Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
9 years ago
MichuziWaziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiteta na baadhi ya Viongozi...
10 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi18 Jun
uuzaji wa hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.
TANGAZO MAALUM NA MUHIMU
Ninapenda kuwatumia Watanzania wote habari hii kuhusu hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.
Kuna wenye uzoefu wa kufanya shughuli hizi za ununuzi na uuzaji wa hisa lakini kuna wengine ambao wangependa kuanza kufanya kuwekeza kwa njia hiyo.
Ni vyema wananchi wawe na habari hizi ili wafanye uamuzi unaofaa badala ya kutokujihusisha na shughuli hii kwa sababu ya kukosa habari au kutokufahamu...
10 years ago
Bongo527 May
‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base
Joh Makini anazidi kupaa juu zaidi. Video ya wimbo wake ‘Nusu Nusu’ aliyomshirikisha G-Nako, imeingia kwenye ‘Official African Chart’ ya MTV Base. Video hiyo iliyofanyika nchini Afrika Kusini imekamata nafasi ya 8 wiki hii. Huo ni wimbo wa kwanza wa Joh Makini kuwahi kuingia kwenye chart hizo. Video hiyo pia inafanya vizuri kwenye kituo cha […]
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Majimbo ya Siha, Same Magharibi na Same Mashariki ni nusu kwa nusu
Jimbo la Siha
Siha ni moja ya wilaya zilizoko katika mkoa wa Kilimanjaro na ilianzishwa mwaka 2005 baada ya kuigawa Wilaya ya Hai. Jimbo la Siha lina jumla ya kata 12 na vijiji 39 na lina zaidi ya watu 150,000.
10 years ago
GPLVITUKO UGHAIBUNI: JAMAA AZIGAWA MALI ZAKE NUSU KWA NUSU BAADA YA KUMWAGANA NA MKEWE
Baiskeli iliyokatwa na jamaa huyo. Gari hili nalo lilikatwa katikati kwa ajili ya kumaliza mgogoro kati ya jamaa huyo na mkewe. Video ya jamaa huyo akikata mali zake katikati. NJEMBA mmmoja nchini Ujerumani amezua sintofahamu baada ya kuamua kugawa nusu kwa nusu kila mali…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania