Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi wa wanafunzi bora wazungumza

Wazazi wa wanafunzi kumi bora katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka jana, wameeleza kufurahishwa na matokeo hayo, huku mwingine akisema alitabiri mapema ushindi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi bora wazungumza

Mwanafunzi Lissa Mimbi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa mtihani wa kidato cha sita katika masomo ya Uchumi, Jiografia na Hesabu (EGM), ni mwanafunzi anayeweza kuwa na kipaji maalumu.

 

10 years ago

Michuzi

WAZAZI NA WANAFUNZI WAIPONGEZA GLOBAL EDUCATION LINK KWA KUWAPATIA VYUO BORA VYA NJE YA NCHI


Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel akiongea na Mwanafunzi ambae aliambatana na wazazi wake (kulia) kupata huduma ya vyuo vya nje ya nchi katika ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Bw. Sourabh Chaudhary ambaye Meneja Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely cha nchini India naAfisa Masoko...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazazi, wanafunzi, msomeni Robert Kiyosaki

Elimu ni nguzo muhimu katika maisha ya binadamu. Mtu asiye na elimu ni kama aliyefungiwa katika chumba chenye giza totoro, hawezi kuona nuru na kujua kinachoendelea nje.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wazazi zingatieni malezi bora kwa watoto’

Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuzingatia malezi bora kwa watoto ili kujenga Taifa lenye maadili kwa kizazi cha sasa na kijacho.

 

5 years ago

Michuzi

DC LUDEWA AWASISITIZA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WAO WANAPATA ELIMU BORA

 Mkurugenzi wa taasisi ya PADECO akikagua vyumba vya jengo la utawala. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Andrea Tsere (kulia) akikagua jengo la utawala linaloendelea kujengwa
 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Adrea Tsere(Kushoto) akielekezwa ramani ya ujenzi wa shule ya Nicopolis Academy, kulia ni mmiliki wa shule hiyo Augustino Mwinuka  Diwani wa kata ya Ludewa Monica Mchiro(kulia) akiangalia vyumba vya madarasa ambavyo vinaendelea kujengwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amewataka...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI APOKEA MAANDAMANO YA WAZAZI NA WANAFUNZI KUUNGA MKONO UCHANGIAJI WA ELIMU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea Maandamano ya Wanafunzi na wazazi wa Wilaya ya Magharibi kuunga mkono kauli ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, kuhusu uchangiaji wa elimu ya msingi na ada za mitihani kwa Kidato cha Nne na Cha Sita aliyoitoa katika kilele cha sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Baadhi ya wazee na wazazi wa Wilaya ya Magharibi wakiwa katika mkutano wa Kumpongeza Rais Shein kufuta uchangiaji kwa elimu ya msingi na ada...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi bora CBE wapata tuzo

TZ-College-of-Business-Education

Na. Aron Msigwa – MAELEZO

Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam kimetoa tuzo kwa wanafunzi bora 12 waliohitimu na kufanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa chuo hicho kuenzi na kuthamini mchango walioutoa katika maendeleo ya taaluma chuoni hapo.

Akikabidhi tuzo hizo katika hafla fupi iliyofanyika jana jijini Dar es salaam, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na mwenyekiti wa sasa wa wanafunzi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani