WAZEE YOMBO KILAKALA WATOA YA MOYONI
![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXbURqHLeruStmhmTCmGqT84xZ*CC997dtqcCXbfZA0aRBE68llUa2ckPrFJcFoNk*NfdjSE7ucYmLjewHjz0zAe/01.jpg?width=650)
Mfanyakazi wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink Maria Chundu akiteta jambo na Bi.Khadija Sultan (78) wa kituo cha kulelea wazee cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala mara walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo hicho.Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyote vyenye thamani ya zaidi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZEE WA KITUO CHA TUSHIKAMANE WATOA YA MOYONI HUKO YOMBO KILAKALA
![](http://4.bp.blogspot.com/-6OcUZa7IIb4/Ux3P6usTR_I/AAAAAAAFSuw/an0RkrqGeO4/s1600/02.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-W85u9hvW7dM/Ux2kA28VDEI/AAAAAAAFSrM/n75BpvR8aq4/s72-c/unnamed+(34).jpg)
Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-W85u9hvW7dM/Ux2kA28VDEI/AAAAAAAFSrM/n75BpvR8aq4/s1600/unnamed+(34).jpg)
10 years ago
VijimamboNHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA
11 years ago
Michuzi21 Jul
TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMA
CHATA YA TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA JIJINI DAR ES SALAA<
10 years ago
Habarileo12 Aug
Wenye ulemavu watoa ya moyoni
WATU wenye ulemavu wameomba vyama vya siasa kutowachanganya na wasio na ulemavu kwenye kura za maoni kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa kutokana na ugumu wanaopata katika kushinda nafasi hizo.
10 years ago
BBCSwahili13 May
Raia wa Burundi watoa ya moyoni
11 years ago
Habarileo08 Apr
Waasisi Zanzibar watoa ya moyoni
MKE wa marehemu Abeid Amaan Karume, Mama Fatma Karume aliwataka vijana kuyaenzi Mapinduzi ya mwaka 1964 kwa kuacha chuki za ukabila, kidini ambazo zinaweza kuleta mgawanyiko wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
11 years ago
Habarileo27 Dec
Mawaziri waliofutwa kazi watoa ya moyoni
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri watatu na mmoja kujiuzulu, kutokana na kashfa zilizotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, viongozi hao wamezungumza yaliyowasibu kila mmoja kwa staili yake.
5 years ago
MichuziWANAWAKE SINGIDA WATOA YA MOYONI, RC NCHIMBI AWAPA UJASIRI
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi katikati mwenye miwani akiwa na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati, lililofanyika Singida juzi.
Baadhi ya washiriki kutoka mikoa ya Tabora, Dodoma na Singida wakisikiliza mada mbalimbali kwenye Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati, lililofanyika mkoa wa Singida.
Kongamano la Wanawake likiendelea.
Wanawake wakiwa kwenye kongamano hilo.
Wakina baba wakijumuika kwenye kongamano hilo.
Afisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Singida,...