NHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha Yombo Kilakala, Carren Mgonja akizungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu.
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF.
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha Yombo Kilakala Carren Mgonja kushoto akipokea fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Jul
TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMA
CHATA YA TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA JIJINI DAR ES SALAA<
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXbURqHLeruStmhmTCmGqT84xZ*CC997dtqcCXbfZA0aRBE68llUa2ckPrFJcFoNk*NfdjSE7ucYmLjewHjz0zAe/01.jpg?width=650)
WAZEE YOMBO KILAKALA WATOA YA MOYONI
11 years ago
MichuziWAZEE WA KITUO CHA TUSHIKAMANE WATOA YA MOYONI HUKO YOMBO KILAKALA
![](http://4.bp.blogspot.com/-6OcUZa7IIb4/Ux3P6usTR_I/AAAAAAAFSuw/an0RkrqGeO4/s1600/02.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-W85u9hvW7dM/Ux2kA28VDEI/AAAAAAAFSrM/n75BpvR8aq4/s72-c/unnamed+(34).jpg)
Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-W85u9hvW7dM/Ux2kA28VDEI/AAAAAAAFSrM/n75BpvR8aq4/s1600/unnamed+(34).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_psdeeeok0M/U-IOOsEjyzI/AAAAAAAF9ig/Cs2rFfHvTgg/s72-c/unnamed+(48).jpg)
Benki ya Posta yaipiga tafu Taswa SC
![](http://3.bp.blogspot.com/-_psdeeeok0M/U-IOOsEjyzI/AAAAAAAF9ig/Cs2rFfHvTgg/s1600/unnamed+(48).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KWBIUksYAy4/U-IOPi0yG2I/AAAAAAAF9ik/V8tP2G0QEFc/s1600/unnamed+(50).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DbDEjKo0OeU/U3iwhreU7cI/AAAAAAAFjhk/dc4EH8VX-ZY/s72-c/1.jpg)
Rangers Bureau de change yaipiga tafu Taswa FC
![](http://1.bp.blogspot.com/-DbDEjKo0OeU/U3iwhreU7cI/AAAAAAAFjhk/dc4EH8VX-ZY/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-G6Y1bE9O1KA/U3iwkUXWGlI/AAAAAAAFjhw/ACk9qvsoluk/s1600/4.jpg)
Duka la kubadilishia fedha za kigeni la Rangers Bureau De Change lililopo Magomeni Mapipa, limetoa msaada wa jezi kwa timu ya soka ya Waandishi...
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
GAPCO yaipiga tafu maendeleo ya michezo ya riadha nchini
Mkurugenzi mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu akimpongeza Simon Mlewa mshindi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia tricycle.
![](http://4.bp.blogspot.com/-2VPgkzE0-Uc/VQFjeFrxFTI/AAAAAAABdFE/2VADwxA73uc/s1600/Gapco3.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga akimkabidhi zawadi Joseph Mungure mshidi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia wheelchair. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa GAPCO Tanzania Vijay Nair, Meneja Masoko Caroline Kakwezi na Mkurugenzi Mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu. Kulia ni Katibu Mkuu wa...
9 years ago
MichuziNHIF YAIPIGA JEKI MANISPAA YA KINONDONI LEO
Hatua hiyo inalenga kuongeza jitihada za kukabiliana na ugonjwa huo ambao umekuwa ukienea kwa kasi, tangu uanze Agosti 15, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kukabidhi msaada huo, Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji wa mfuko huo, Deusdedit Rutazaa alisema kutokana na...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-qmKoYHud7W8/VcuRmKrHKmI/AAAAAAAADQ4/FdHRtBo877s/s72-c/Timberland-smile.jpg)
NEW MUSIC: TIMBERLAND - SMILE ft. BOZEMAN (LISTEN & DOWNLOAD)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qmKoYHud7W8/VcuRmKrHKmI/AAAAAAAADQ4/FdHRtBo877s/s640/Timberland-smile.jpg)
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...