Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GAPCO yaipiga tafu maendeleo ya michezo ya riadha nchini

Gapco2

Mkurugenzi mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu akimpongeza Simon Mlewa mshindi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia tricycle.

Mkuu wa wilaya ya  Moshi Novatus Makunga akimkabidhi zawadi Joseph Mungure mshidi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia wheelchair. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa GAPCO Tanzania Vijay Nair, Meneja Masoko Caroline Kakwezi na Mkurugenzi Mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu. Kulia ni Katibu Mkuu wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

GAPCO YAPIGA TAFU MAENDELEO YA MICHEZO YA RIADHA NCHINI

Mkurugenzi mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu akimpongeza Simon Mlewa mshindi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia tricycle.Mkuu wa wilaya ya  Moshi Novatus Makunga akimkabidhi zawadi Joseph Mungure mshidi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia wheelchair. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa GAPCO Tanzania Vijay Nair, Meneja Masoko Caroline Kakwezi na Mkurugenzi Mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu. Kulia ni Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

kampuni ya selcom wireless yaipiga jeki Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (taswa)


Meneja  Biashara, ukuzaji na Masoko wa kampuni ya Selcom Wireless, Juma Mgori (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na udhamini wa Tuzo za wanamichezo bora za Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa). Kampuni hiyo imetoa udhamini wa Sh Milioni 30. Kushoto ni Gallus Runyeta ambaye ni Meneja Miradi wa kampuni hiyo na kulia ni Mwenyekiti wa Taswa, Juma Pinto

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya Posta yaipiga tafu Taswa SC

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akikabidhi mfano w hundi kwa mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary (wa kwanza kulia)ikiwa sehemu ya benki hiyo kusaidia michezo nchini. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa wa benki hiyo, Chichi Hilda Banda. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na hatua ya benki hiyo kuisaidia timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rangers Bureau de change yaipiga tafu Taswa FC

Mkurugenzi wa Rangers Bureau De Change na Rangers Tours and Travel Agent, Daudi Madega (kushoto) akikabidhi jezi kwa mwenyekiti wa Taswa FC, Majuto Omary katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo, Magomeni. Nahodha wa timu ya soka ya wandishi wa habari za michezo nchini, Mbozi Katala akizungumza mara baada ya makabidhiano hayo.
Duka la kubadilishia fedha za kigeni la Rangers Bureau De Change lililopo Magomeni Mapipa, limetoa msaada wa jezi kwa timu ya soka ya Waandishi...

 

10 years ago

Vijimambo

NHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA

Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha Yombo Kilakala, Carren Mgonja akizungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu.Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF.
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha Yombo Kilakala Carren Mgonja kushoto akipokea fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray...

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha waeleza kinachokwamisha maendeleo ya michezo nchini

Makocha wengi nchini wanataka Serikali iingilie kati kuinususuru sekta ya michezo ambayo hivi sasa haifanyi vizuri.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza   na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake ) na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo nchini kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Februari 25, 2020. (Picha na Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA SHIMIWI: MAMBO YA NDANI YAIPIGA ARDHI 1- 0 KATIKA SOKA

Mchezaji wa timu ya soka ya Ardhi, Martin Utonga (kulia) akiwania mpira pamoja na beki namba mbili wa timu ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ibrahim Msumai (kushoto) katika mchezo wa SHIMIWI uliofanyika leo uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Mambo ya Ndani ilishinda kwa bao 1-0.Picha na Happiness Shayo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani