Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZEE WA KITUO CHA TUSHIKAMANE WATOA YA MOYONI HUKO YOMBO KILAKALA

Mfanyakazi wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink Maria Chundu akiteta jambo na Bi.Khadija Sultan (78) wa kituo cha kulelea wazee cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala mara walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo hicho.Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyote vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5. Mhasibu wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZEE YOMBO KILAKALA‏ WATOA YA MOYONI

Mfanyakazi wa  Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink  Maria Chundu akiteta jambo na Bi.Khadija Sultan (78) wa kituo cha kulelea wazee cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala mara walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo hicho.Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa  ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyote vyenye thamani ya zaidi...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam

 Mfanyakazi wa  Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Zabida Kibiki akimvisha shuka baada ya kumkabidhi msaada huo John Shitundu ambaye ni miongoni mwa wazee waliopo chini ya kituo chaTushikamane Pamoja Foundation wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee hao wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa  ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye...

 

10 years ago

Vijimambo

NHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA

Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha Yombo Kilakala, Carren Mgonja akizungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu.Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF.
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha Yombo Kilakala Carren Mgonja kushoto akipokea fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray...

 

11 years ago

Michuzi

TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMA


CHATA YA TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA JIJINI DAR ES SALAA< Kanali Mstaafu Iddi Kipingu wa tatu kushoto akikabidhi misaada ya vyakula kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima cha Daru-Alqm cha Yombo misaada iliyotolewa na Timber Land Jogging and Sports ClubKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Wana Kariakoo watoa misaada katika kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale leo

 Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation Development (KFFD) Mohamed Bhinda akimkabidhi mlezi wa  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam leo. KFFD ni jumuiya ya watu wanaoishi ama waliopata kuishi eneo la Kariakoo ambao wameunda jumuiya hiyo  kudumisha umoja wao pamoja na kusaidiana katika shida na raha. Ujumbe wa KFFD ukiwa na mlezi wa  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam baada ya kukabidhi misaada leo.  Ujumbe wa KFFD ukiwa na watoto wanaolelewa...

 

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA KAMISHNA WA THBUB KATIKA HOSPITALI MKOA WA DODOMA,KITUO CHA KUTUNZA WATOTO NA WAZEE CHA HOME OF JOY AND LOVE

Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Dkt. Fatma Rashid Khalfani (kushoto) akikabidhi zawadi ya Keki kwa Mkurugenzi wa Wauguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Stanley Mahundo (kulia) ikiwa ni ishara ya kuwapongeza Wauguzi kwa kazi nzuri wanayoifanya. Pamoja na keki hiyo, Dkt. Fatma alikabidhi pia sabuni kwa ajili ya Wauguzi hao kuzitumia kunawia mikono kwa ajili ya kujikinga na Korona.Mkuu  wa Kituo cha kutunza Watoto na Wazee cha Home of Joy and Love ...

 

10 years ago

Dewji Blog

TCAA watoa msaada kituo cha yatima cha New Hope Family kilichopo Mwasonga Kigamboni jijini Dar

02

Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu  cha New Hope family Maiko Lugendo, ( kulia) akimuonyesha  Afisa habari wa Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitumbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya  kwenye  kituo hicho kilichopo Mwasonga Kata ya Kisarawe 2 Kigamboni  jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Hellen Erasto.

04

Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ali...

 

10 years ago

Michuzi

UJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM

  Mwasisi na Mratibu Mkuu wa Kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network Bw. Lusekelo Mwandemange akikabidhi msaada kwa Bi. Zainab Bakary Maunga wa kituo cha kulelea yatima cha Maunga Centre.Bi. Mwajuma Njaritta  kutoka kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network akimkabidhi mmoja wa watoto Msaada wa vitabu kwa niaba ya watoto wengine katika kituo cha kulelea yatima cha Maunga Centre.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani