Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri akuta ‘ofisi nzima’ wako likizo

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amefanya ziara ya kushtukiza Ofisi za Baraza la Ardhi na Nyumba za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kukuta zaidi ya nusu ya watendaji wake wako likizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dk Mwele akuta ofisi zimefungwa

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk Mwele MalecelaKADA wa CCM anayetafuta wadhamini ili aombe ridhaa ya wanachama wenzake kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu ujao, Dk Mwele Malecela, amepata wakati mgumu wa kupata wadhamini katika Mkoa wa Manyara, baada ya kukosa mwenyeji wake.

 

9 years ago

StarTV

Ziara Ya Waziri Mkuu TPA akuta Makontena mengine 2,431 yamepotea.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi kumi wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA kupisha uchunguzi wa upotevu wa makontena 2,431 yaliyopita chini ya Mamlaka ya Bandari bila kulipiwa kodi kati ya Machi na Septemba mwaka 2014.

Hatua hii inakuja baada ya ziara ya ghafla ya Waziri Mkuu bandarini ambapo amezungukia idara mbalimbali.

Pamoja na hatua hiyo Waziri Mkuu ametaka majina ya vigogo waliohusika na uondoshwaji wa makontena hayo kumfikia kabla ya saa kumi na moja jioni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016

WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA  MIZENGO  PETER  PINDA
                                                                                               

UTANGULIZI


1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO  PETER  PINDA                                                                                         UTANGULIZI


1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu atinga tena bandarini na TRL, akuta makontena 2431 yametoka bila kulipiwa kodi!!

IMGS3737

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar s salaam  Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali.  (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa malipo baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431 yametolewa bila kulipiwa ushuru.

Waziri Mkuu alisema kwa mujibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AVAMIA TENA BANDARINI NA TRL,AKUTA MAKONTENA 2431 YEMETOKA BILA KULIPIWA KODI.

  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar es salaam  Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfumo wa kukagua makontena bandarini kwa kutumia scaner huku akipata maelzo kutoka kwa Ofisa wa forodha, January Shauri wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam Desemba 3, 2015  kutaka kujua ukweli wa tuhuma za...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS DKT.MARY NAGU ATEMBELEA OFISI ZA TASAF

 Waziri wan chi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu Dokta Mary Nagu (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya TASAF kushoto kwake ni mkurugenzi mtendaji wa TASAF Ladislau Mwamanga (mwenye suti  nyeusi). Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akimtembeza Waziri wan chi Ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu katika jingo linalotumiwa kuhifadhi kumbukumbu za walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini.  Waziri wa nchi ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu akizungumza na...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.

 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani