Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI BERNARD MEMBE ANUSURIKA AJALI YA NDEGE, ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (pichani) , amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa kwenda Zanzibar kutaka kugongana uso kwa uso na ndege nyingine dakika moja kabla ya kutua.

Waziri Membe akiwa na ujumbe wake wa watu wanane, walikuwa wakisafiria ndege ya kukodi kampuni ya 5H NEG Precition Aviation ikirushwa na rubani Mathew Mhahiki, ambaye ameonyesha kushangazwa na tukio hilo alilodai “ni kwa rehema za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI BERNARD MEMBE ANUSURIKA AJALI YA NDEGE, ZANZIBAR‏

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa kwenda Zanzibar kutaka kugongana uso kwa uso na ndege nyingine dakika moja kabla ya kutua.
Waziri Membe akiwa na ujumbe wake wa watu wanane, walikuwa wakisafiria ndege ya kukodi kampuni ya 5H NEG...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri anusurika ajali ya ndege

Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakari Khamis Bakar, abiria na marubani wawili wamenusurika kifo baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupata ajali.

 

11 years ago

IPPmedia

Waziri anusurika kifo ajali ya ndege

Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakari Khamis Bakari, pamoja na abiria 17 wamenusurika kifo, baada ya ndege ya shirika la ndege la 'Zan air' waliyokuwa wanasafiria kupata matatizo ya breki na kusererekea vichakani.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akishuhudia mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitia saini kumdhamini kwenye fomu yake ya kugombea Urais wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika ofisi ya CCM wilaya ya Kaskazini ‘B mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar jana, ambapo alipata wadhamini zaidi ya 1500 katika mikoa yote mine ya Unguja. Katikati ni Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Benin anusurika ajali ya ndege

Waziri mkuu wa Benin, Lionel Zinsou, anasemekana kuwa salama baada ya ndege ya helikopta alimokuwa akisafiria, kuanguka ilipokuwa ikitua kaskazini mwa nchi hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMAKI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana, John Ramadhan. Picha na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA AKINAMAMA WA KIKRISTO, ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar,...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE ATEMBELEA KABURI LA HAYATI ABEID AMAN KARUME MJINI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) akifafanua jambo wakati alipotembelea chumba ambacho muasisi wa Mapinduzi na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume aliuawa kwa risasi wakati akicheza bao, katika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja Juni 13.2015 jioni, ambapo Waziri Membe yupo Zanzibar kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msichana anusurika ajali ya ndege

Mtoto wa miaka saba ametembea hadi katika nyumba moja katika jimbo la Kentucky nchini Marekani kuripoti ajali ya ndege aliyoabiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani