WAZIRI MAKALLA...
![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ2UjDOQfuPLhNTotMajermxhdluxyM9BGFJx-FOEg9Ha2oBFxC6m823V6Lu3Mq1ZZw16c-k3xLf4QsSjtV0zSZz/kodi.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Maji, Mheshimiwa Amos Makalla amegeuka mbogo kufuatia madai ya kukwepa kodi kupitia gari analodaiwa kulimiliki aina ya Toyota Dyna lililokamatwa na maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani Mvomero mkoani Morogoro hivi karibuni. Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Amos Makalla Akizungumzia habari zilizoandikwa na gazeti moja linalotoka kila siku nchini kukanusha tuhuma hizo,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Amos Makalla afiwa na Baba yake mzazi
![](http://4.bp.blogspot.com/-VdMS1U3BcsE/U9yVoxZefkI/AAAAAAAArcM/ZRugao-YEZQ/s1600/51f0d16ac2346074e3bf52233b33bcbd.jpg)
Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla anasikitika kutangaza kifo cha babake mzazi, Gabriel Makalla kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa waziri Palm Residence Ocean Road namba 18E Dar es Salaam, Mwili utaagwa Jumapili katika Kanisa la Azania Front saa 6 mchana.
Baada ya hapo mwili utasafirishwa kwenda Mvomero kwa mazishi yatakayofanyika Jumatatu saa 7 mchana.
Mungu...
9 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI AMOS MAKALLA MJINI GEITA
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yi2EdAXAE0g/UvRl-tE-PGI/AAAAAAAFLdk/IMDp63X87Hs/s72-c/unnamed+(5).jpg)
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-yi2EdAXAE0g/UvRl-tE-PGI/AAAAAAAFLdk/IMDp63X87Hs/s1600/unnamed+(5).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ooPySYtHfww/UvRl_ATfUMI/AAAAAAAFLd4/VFty8n3L0SY/s1600/unnamed+(7).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mxs2Jv8g1xs/VLM9FPw9jZI/AAAAAAAG8zc/c9KMrD0eVSI/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Ziara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla Mbeya vijijini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxyGTZ*9cfknS7YDBWjPYlPD8HIWK0URq5R1QpM7Bf0hn6NGFlfmkHy9qg74sId9wOd4Zq8bB1bDqgW9tRR3dT-Y/makalla.jpg?width=650)
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA WILAYANI MANYONI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-p4fbjhJu1BY/VP1SytjTvvI/AAAAAAAHI10/8kjFSqqMmmM/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
Ziara ya naibu waziri wa Maji Amos Makalla jimbo la Mchinga-Lindi
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9ZhFdaDOoxM/VNwghcixiPI/AAAAAAAHDMo/YJp4KyNrU1A/s72-c/unnamed%2B(71).jpg)
Ziara ya naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla mjini Babati