Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Makamba na Naibu Waziri Mpina Wakabidhiwa Ofisi

mah1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa  Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za  Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk.  Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.mah2Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa  Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za  Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele .  Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam.mah3Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa  Rais...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI LUHANGA MPINA AKUTANA NA WATENDAJI WA NEMC


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina (aliyekaa mbele), akizungumza na baadhi ya watendaji wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakati alipotembelea kwa mara ya kwanza Makao Makuu ya Ofisi ya Baraza hilo jijini Dar es Salaam leo. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina (aliyekaa mbele), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), wakati...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (WATU WENYE ULEMAVU) ATEMBELEA KITUO CHA NUNGE, KIGAMBONI

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi ametembelea Kituo cha Watu wenye Ulemavu na wasiojiweza cha Nunge Kigamboni Dar es Salaam Desemba 28, 2015 ili kuangalia mazingira na changamoto wanazokumbana nazo wakazi hao.Afisa Mfawidhi Makazi ya Wazee wa kituo cha kulea watu wenye ulemavu cha Nunge Kigamboni, Bw. Ojuku Mgesi akimuonesha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa kwanza kushoto) banda linalotumiwa...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu Waziri January Makamba amemtolea


Naibu Waziri January Makamba amemtoleauvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, KingungeNgombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Urais kwatiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.Kingunge kumpigania mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani EdwardLowassa, amekuwa akitoa matamko mbalimbali kuhusiana na mchakato huoakisema haukutenda haki hasa baada ya kuenguliwa jina la Lowassaambapo baada ya mchujo wa majina likapatikana jina la mgombea mmoja,Dk John...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wawakaribisha rasmi Mh. Makamba na Mh. Luhaga Mpina leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili Ofisini hapo. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akisalimiana na baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati ya mapokezi ya kuwapokea. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na...

 

10 years ago

Mwananchi

January Makamba: Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Historia yake January Makamba ni mmoja kati ya vijana machachari katika siasa za Tanzania akiwa na sifa kubwa ya kuendesha siasa za kisasa na zinazowavutia vijana wengi. Makamba alizaliwa Januari 28, 1974 mkoani Singida (ana miaka 41 sasa) na ni mtoto mkubwa kati ya watoto wanne wa Mzee Yusuph Makamba. Kwa sasa January ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais alifanya ziara ya kukagua Mazingira Mkoani Mtwara hususan katika eneo la Mdenga, Manispaa ya Mtwara. Chimbuko la ziara hii ni malalamiko yaliyotolewa na wananchi kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Abdulrahman Kinana alipokuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humoAfisa Uhusiano wa kampuni ya SBS, Bw. Geofrey Kanenge (katikati) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) (wa...

 

10 years ago

GPL

Naibu Waziri Mhe. January Makamba azindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live

Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia .Mhe. January Makamba azindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live usiku huu. hapa akiwa katika picha ya pamoja baada ya uzindua. Wasanii wa Kaolewakiwa stejini…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani