Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wawakaribisha rasmi Mh. Makamba na Mh. Luhaga Mpina leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili Ofisini hapo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akisalimiana na baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati ya mapokezi ya kuwapokea.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_tn_B5-bnXQ/VkCYdhNwwqI/AAAAAAAClgM/kmsAWlElv50/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU AKABIDHIWA RASMI OFISI, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-_tn_B5-bnXQ/VkCYdhNwwqI/AAAAAAAClgM/kmsAWlElv50/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-deH0jjW5Pz8/VkCYe3PyZ4I/AAAAAAAClgU/s1xigYfCttM/s640/01.jpg)
9 years ago
CCM Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-_tn_B5-bnXQ/VkCYdhNwwqI/AAAAAAAClgM/kmsAWlElv50/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AKABIDHIWA OFISI RASMI NA DKT. BILAL, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-_tn_B5-bnXQ/VkCYdhNwwqI/AAAAAAAClgM/kmsAWlElv50/s640/2.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo. Picha zote na OMR
![](http://1.bp.blogspot.com/-deH0jjW5Pz8/VkCYe3PyZ4I/AAAAAAAClgU/s1xigYfCttM/s640/01.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CYqE0xCwXUo/VaYlj1IyKBI/AAAAAAACfr8/EHfv3Jfp5Z8/s72-c/03.jpg)
MGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS
![](http://4.bp.blogspot.com/-CYqE0xCwXUo/VaYlj1IyKBI/AAAAAAACfr8/EHfv3Jfp5Z8/s640/03.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HSnE6FiMaPA/VaYnvictEfI/AAAAAAACfvg/yEb7H3eNWx8/s640/01.jpg)
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...
10 years ago
Mwananchi02 Jun
Luhaga Mpina: Nitaongeza Pato la Taifa mara tatu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4iZoE-CdSSc/XrVyeH0gm9I/AAAAAAALpgw/9aZjv07PQOEOfua72k9an_L5cJm4ve_ZACLcBGAsYHQ/s72-c/Prof.-Amandus-Muhairwa.jpg)
9 years ago
MichuziBALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili ya...
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Waziri Makamba na Naibu Waziri Mpina Wakabidhiwa Ofisi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk. Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele . Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais...
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Mgombea mwenza, Samia Suluhu, awaaga na kuwashukuru wafanyakazi wenzake ofisi ya Makamu wa Rais
![](http://4.bp.blogspot.com/-CYqE0xCwXUo/VaYlj1IyKBI/AAAAAAACfr8/EHfv3Jfp5Z8/s640/03.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HSnE6FiMaPA/VaYnvictEfI/AAAAAAACfvg/yEb7H3eNWx8/s640/01.jpg)
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO