Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Makame amjibu Jussa

SIKU moja baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Jussa kuwashambulia mawaziri watatu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kudai ni wanafiki, waziri mmoja ameibuka na kujibu hoja....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jussa amjibu Kinana kuhusu Katiba ya Zanzibar

Siku chache baada ya Katibu Mkuu wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana kutaka watu wajilaumu kwa Katiba ya Zanzibar, Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Jussa, amefananisha kauli hiyo na kuzika kichwa mchangani wakati mwili uko nje.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Makame azindua Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti

Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ( mwenye mkasi) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti nchini. Anayeshuhudia ni Prof. Tolly Mbwete, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania na mwakilishi wa Benki ya Dunia, Tanzania.
Mtandao huo umeunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti 22 nchini ambapo Vyuo Vikuu mbalimbali nchini vinaweza kuwasiliana, kutoa huduma ya elimu mtandao, maktaba mtandao,...

 

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. MAKAME M. MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA WAANDISHI WA HABARI YA KUTANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI ZA MWAKA 2015 KWENYE UKUMBI WA MIKUTA

 Ndugu Wandishi wa Habari, 
Mabibi na Mabwana,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye gazeti la Serikali  la tarehe 14/08/2015 na kupewa Na. 328. Pia Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, 2015 ambayo  ilitangazwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe hiyo hiyo na kupewa Na.329.


Ndugu Wananchi,

Teknolojia ya Habari na...

 

11 years ago

TheCitizen

Jussa: This is what carried us through

Tolerance, understanding and dedication were the secrets behind the success of the Draft Standing Orders Committee, the Constituent Assembly heard on Tuesday.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jussa awaumbua mawaziri

MJUMBE wa kamati namba sita, Ismail Jussa, amewaumbua mawaziri watatu wa Zanzibar, na wajumbe wa Bunge Maalumu, kuwa ni wanafiki walioshindwa  kusimamia msimamo wao juu ya muundo wa muungano. Alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu amjibu Nassari

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kauli zilizotolewa bungeni na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema)dhidi yake kuwa hafanyi kazi ila kupiga picha wakati wote, ni za kutapatapa na zimejaa ukosefu wa busara na uzushi.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta amjibu Warioba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA ESTHER MBUSSI, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amepinga madai ya Bunge hilo kuchukuliwa kama la mazuzu na baadhi ya watu kulishusha hadhi kwa kulifananisha na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Amesema Bunge hilo lina mamlaka zaidi kuliko tume hiyo, ndiyo maana linafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.

Sitta alisema hayo jana na...

 

10 years ago

Mtanzania

RC Gama amjibu Halima Mdee

Halima-MdeeNA RODRICK MUSHI, MOSHI
SIKU moja baada ya Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee (Chadema), kumlipua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akidai kuwa amekuwa dalali wa viwanja, hatimaye amejibu mapigo na kusema kusakamwa kwake kunatokana na msimamo wake dhidi ya wa wanywaji pombe wilayani Rombo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, alisema kauli ya Mdee imejaa siasa, hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, lakini hatorudi...

 

11 years ago

Bongo5

Hatimaye Ray C amjibu TID

Baada ya kukaa kimya kufuatia kutukanwa na TID kupitia mtandao wa Instagram, Ray C amemjibu staa huyo. “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa,” ameandika […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani