Nyalandu amjibu Nassari
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kauli zilizotolewa bungeni na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema)dhidi yake kuwa hafanyi kazi ila kupiga picha wakati wote, ni za kutapatapa na zimejaa ukosefu wa busara na uzushi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 May
Tamko la Mhe. Nyalandu kuhusu shutuma za Mbunge Mhe. Nassari
Waziri wa Mali asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu.
“Nimesikitishwa sana na kauli ya Mhe. Joshua Nassari ambayo ameongea kwa kudhalilisha utendaji wangu serikalini.
Naomba Mh. Nassari afahamu kuwa kunikashifu pasipo kueleza masuala ya kisera au ya kiutendaji ni kupungukiwa na busara ya kawaida kwa kiongozi aliyepaswa kuwawakilisha wapiga kura wake kwa hoja. Itakumbukwa kuwa hivi karibuni Mhe. Nassari aliniita Jimboni kwake Arumeru Mashariki akiniomba nitatue tatizo lililohusu...
10 years ago
Mtanzania29 Aug
Sitta amjibu Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA ESTHER MBUSSI, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amepinga madai ya Bunge hilo kuchukuliwa kama la mazuzu na baadhi ya watu kulishusha hadhi kwa kulifananisha na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Amesema Bunge hilo lina mamlaka zaidi kuliko tume hiyo, ndiyo maana linafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.
Sitta alisema hayo jana na...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Waziri Makame amjibu Jussa
SIKU moja baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Jussa kuwashambulia mawaziri watatu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kudai ni wanafiki, waziri mmoja ameibuka na kujibu hoja....
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pSD6_MD-GF8/VWRz-LKJdsI/AAAAAAADou0/x88hW4zhcuM/s72-c/M2LqY4EQ.jpg)
Dr Hamisi Kingwangala amjibu Lowassa
![](http://1.bp.blogspot.com/-pSD6_MD-GF8/VWRz-LKJdsI/AAAAAAADou0/x88hW4zhcuM/s640/M2LqY4EQ.jpg)
Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.
Mimi nilianza kushiriki siasa toka nikiwa mdogo sana. Kuanzia Chipukizi, Greenguard wa UVCCM na baadaye UVCCM. Miaka ya mwanzo ya 90 nilivutiwa sana na mijadala ya mfumo wa vyama vingi ama kimoja. Nakumbuka, binafsi nilivutiwa zaidi na mfumo wa kutanua demokrasia, nakumbuka nilichangia hoja zangu kwenye mkutano wa tume pale Nzega mjini, viwanja vya parking pembeni ya jukwaa. Wengi kwa hakika hawakuunga mkono mfumo wa vyama vingi. Waliamini...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/5.Askofo-wa-Kanisa-la-Ufufuo-na-UzimaJosephath-Gwajima-akizungumza-kwenye-mkutano-huo-leo-katika-Hoteli-ya-Land-Mack..jpg)
GWAJIMA AMJIBU DOKTA SLAA
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Lissu amjibu JK kuhusu Richmond
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Askofu Niwemugizi amjibu Migiro
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge mkoani Kagera, Seveline Niwemugizi amesema, viongozi wa dini wana haki ya kuwaelimisha waumini wao waweze kujua kinachoendelea wanapoona kuna mambo hayaendi sawa katika jamii.
Niwemugizi alisema pia wanayo haki ya kuwaambia waumini wao kuipigia kura ya Hapana, Katiba Inayopendekezwa kwa sababu ni wajibu wao kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, askofu Niwemugizi, alisema wao kama viongozi wa jamii...
10 years ago
Mtanzania10 Jun
RC Gama amjibu Halima Mdee
NA RODRICK MUSHI, MOSHI
SIKU moja baada ya Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee (Chadema), kumlipua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akidai kuwa amekuwa dalali wa viwanja, hatimaye amejibu mapigo na kusema kusakamwa kwake kunatokana na msimamo wake dhidi ya wa wanywaji pombe wilayani Rombo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, alisema kauli ya Mdee imejaa siasa, hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, lakini hatorudi...
11 years ago
Bongo509 Jul
Hatimaye Ray C amjibu TID