Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamko la Mhe. Nyalandu kuhusu shutuma za Mbunge Mhe. Nassari

8142Lazaro-Nyalandu

Waziri wa Mali asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu.

“Nimesikitishwa sana na kauli ya Mhe. Joshua Nassari ambayo ameongea kwa kudhalilisha  utendaji wangu  serikalini. 

Naomba  Mh. Nassari  afahamu kuwa  kunikashifu pasipo  kueleza masuala  ya kisera  au ya kiutendaji ni  kupungukiwa na busara  ya kawaida kwa kiongozi aliyepaswa kuwawakilisha wapiga kura wake kwa hoja. Itakumbukwa kuwa hivi karibuni Mhe. Nassari aliniita Jimboni kwake  Arumeru Mashariki akiniomba nitatue  tatizo  lililohusu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari. Na Woinde Shizza, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari  anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari  huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku ...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZ: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

Na Woinde Shizza, Arusha

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari (pichani) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari  huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku  December 16 katika eneo la Doli lililopo  katika kijiji cha UsaRiver  kwenye gari aina ya Land cruiser  lenye namba za usajili T 753...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE JOSHUA NASSARI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA MWANZO YA MAJI YA CHAI

Na Woinde shizza, Arusha  Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya Maji ya Chai mkoani Arusha ameahirisha hadi  Desemba 24, 2014  kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru  Mashariki Mh. Joshua Nassari (pichani), kwa tuhuma za kuharibu mali ya umma  yenye dhamani ya shilingi laki mbili, pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya Desemba 15, mwaka huu Mahakama hiyo imemuachia Mbunge huyo baada ya kutimiza masharti ya dhamana,  ikiwa ni wadhamini...

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge wamtia moyo Nyalandu kuhusu shutuma

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar walipokutana katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha

Wabunge wa Kanda ya Kaskazini wamemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutovunjika moyo kutokana na kauli za baadhi ya watu wanaoushutumu utendaji wake.

Wakizungumza katika mkutano wa viongozi wa mikoa ya Arusha na Kilimanajaro, wabunge hao wamesema wanaomuandama wana kinyongo na utendaji wake.

Wabunge hao ni Aggrey...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MHE LAZARO NYALANDU

Waziri NyalanduSIKU ya Mkesha wa Mwaka Mpya, Desemba 31, 2014, nilikaribishwa kushiriki ibada ya Mkesha na Baba Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ephata, Josephat Mwingira, iliyofanyika Kibaha mkoani Pwani. Mkesha huo ulitangazwa moja kwa moja kwenye kituo cha luninga cha Star TV na kuhudhuriwa na maelfu ya watu. Katika Mkesha huo, nilipewa fursa ya kuwasalimia waumini na kushirikiana nao katika neno la Mungu, ambapo huku nilieleza matumaini yangu kwa Taifa letu na ushiriki wa vijana katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mhe. Nyalandu afungua mkutano wa uhifadhi wa wanyamapori Tanzania

1

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.

3

DSC_0563

2

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na mdau wa masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo, muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas

 Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari amefanya mazungumzo na Seneta Joyce Elliott  wa Chama cha Democrat ch Rais Obama Nchini Marekani. Pamoja na mambo mengine wamejadiliana kuhusu mpango wa kuanzisha urafiki kati ya Halmashauri ya Meru na Jimbo la Arkansas la Marekani.  Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari, akitoa mada. Mhe Nassari yupo nchini Marekani Pamoja na vijana wengine toka nchi zote za Afrika kwa ajili ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani