WAZIRI MEMBE AWAUSIA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NCHI MBALIMBALI DUNIANI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya nne...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI KUHUSU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII.
Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ulf Kallstig akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akiwa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ulf Kallstig (kushoto mara baada ya kumalizika kwa kikao cha mazungumzo kuhusu utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Sweden wakati huu wa janga la Corona ) leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii...
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Waziri Membe awahusia mabalozi wa Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya nne...
9 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AWAHUSIA MABALOZI WA TANZANIA
5 years ago
CCM BlogWAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI MBALIMBALI JUU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII
11 years ago
MichuziWANAMUZIKI WA TANZANIA WANAOWAKILISHA NJE YA NCHI …
Leo tuwatambue wakongwe na nguli wa muziki wa dansi nchini wakiwa mabalozi wetu nchini Japan wakiwa na kundi linaloitwa Tanzanite BandHawa ni Fresh Jumbe (mwimbaji, katikati), Abbu Omar (Solo Guitar, kulia) na Lister Elia (key board, kushoto).
Fresh Jumbe amepitia bendi kubwa sana nchini kama Dar International (Super Bomboka), JUWATA Jazz (Msondo Ngoma), DDC...
9 years ago
Habarileo02 Dec
Mabalozi nchi mbalimbali wateta na Majaliwa
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu kutoka nchi za China, Jamhuri ya Sudan na Korea Kusini. Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi hao jana mchana ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu aliwashukuru mabalozi hao kwa pongezi walizokwenda kumpatia na kuahidi ushirikiano zaidi na nchi zao.
10 years ago
MichuziMabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein
10 years ago
MichuziWaziri Membe azungumza na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini
10 years ago
Vijimambo14 Nov
WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA SUDAN HAPA NCHINI