Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabalozi nchi mbalimbali wateta na Majaliwa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu kutoka nchi za China, Jamhuri ya Sudan na Korea Kusini. Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi hao jana mchana ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu aliwashukuru mabalozi hao kwa pongezi walizokwenda kumpatia na kuahidi ushirikiano zaidi na nchi zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWAUSIA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NCHI MBALIMBALI DUNIANI

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya nne...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI KUHUSU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII.


Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ulf Kallstig akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akiwa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ulf Kallstig (kushoto mara baada ya kumalizika kwa kikao cha mazungumzo kuhusu utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Sweden wakati huu wa janga la Corona ) leo jijini Dar es salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

9 years ago

Michuzi

MAJALIWA AKUTANA NA MABALOZI WA CHINA, KOREA NA SUDAN

 Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa China Nchini Dkt. Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es slaam  Disemba 1, 2015.  Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt.Yassir  Mohamed Ali Ofisini kwake jijini Dar es salaam Disemba 1, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na balozi wa Korea nchini Mhe. Chung Il ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Disemba 1,...

 

9 years ago

Michuzi

MABALOZI MBALIMBALI WAZUNGUMZA KUHUSU MAJUKUMU YAO KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.), akizungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, kuhusu nafasi na majukumu yao katika uchaguzi mkuu ujao, pamoja na jinsi Serikali ilivyojipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani, huru na haki kwa vyama vyote.Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini,wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb), wakati wa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI MBALIMBALI JUU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII

Sweden%2B-%2B1Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ulf Kallstig (kushoto) leo jijini Dar es salaam kuhusu utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Sweden wakati huu wa janga la Corona.Na Aron Msigwa – WMUWAZIRI wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania imejipanga na iko tayari kupokea watalii kutoka katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi ya Sweden na Israel ambazo raia wake...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Majaliwa: Lindeni amani ya nchi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kulinda amani ya nchi huku akikemea uvaaji wa nguo fupi na kuwasihi Watanzania kujenga tabia ya kuvaa mavazi yenye kumpendeza Mungu.

 

11 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA KUDUMU WA SWEDEN JUMUIYA YA ULAYA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZINAZOZUNGUKA ZIWA TANGANYIKA

 Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden Jumuiya ya Ulaya Balozi Anders Ahnlid (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi zinazozunguka ziwa Tanganyika. Balozi Ahnlid amekutana na Mabalozi hao leo Brussels.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani