Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJALIWA AKUTANA NA MABALOZI WA CHINA, KOREA NA SUDAN

 Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa China Nchini Dkt. Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es slaam  Disemba 1, 2015.  Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt.Yassir  Mohamed Ali Ofisini kwake jijini Dar es salaam Disemba 1, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na balozi wa Korea nchini Mhe. Chung Il ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Disemba 1,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DKT. NDUMBARO AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, NORWAY NA KOREA

Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Balozi Sarah Cooke, Balozi wa Norway nchini Mhe. Balozi Elisabeth Jacobsen pamoja na Balozi wa Korea nchini Mhe. Balozi CHO tae-ick.
Dkt. Ndumbaro amekutana na mabalozi hao leo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili masuala ya kuongeza ushirikiano wa kidiplomasia pamoja na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONANA NA MABALOZI WA CHINA NA KOREA KUSINI, IKULU JIJINI DAR LEO

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Korea ya Kusini hapa nchini Mhe. Chung IL, wakati akimkaribisha na kufanya nae mazungumzo, Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea ya Kusini hapa nchini Mhe. Chung IL, Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing, Ikulu jijini Dar es salaam leo...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA SUDAN HAPA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Misri hapa nchini, Mhe. Hossam Moharram alipofika Wizarani kwa mazungumzo kuhusu kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.Mhe. Membe akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Balozi Moharram. Wengine pichani ni Maafisa kutoka Ubalozi wa Misri. ......Waziri Membe na Balozi wa Sudan Waziri Membe akisalimiana na Balozi wa Sudan hapa nchini, Mhe. Dkt. Yassir Mohamed Ali...

 

9 years ago

Habarileo

Mabalozi nchi mbalimbali wateta na Majaliwa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu kutoka nchi za China, Jamhuri ya Sudan na Korea Kusini. Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi hao jana mchana ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu aliwashukuru mabalozi hao kwa pongezi walizokwenda kumpatia na kuahidi ushirikiano zaidi na nchi zao.

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Apokea Utambulisho wa Mabalozi Korea, Ulaya na Parestina

MAGUFULI (1)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri  ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016.MAGUFULI (2)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akizungumza na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu  jijini Dar es salaam leo baada ya kupokea hati zake za  utambulisho.MAGUFULI (3)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA RWANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na mabalozi wa Norway na Balozi mteule wa Tanzania nchini Rwanda na kufanya nao mazungumzo ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Norway nchini Tanzania mheshimiwa Hanne Marie Kaarstad ndiye alikuwa wa kwanza kufanya mazungumzo na mheshimiwa Makamu wa Rais ambapo licha ya kufika kujitambulisha alimueleza mheshimiwa Makamu wa Rais kuwa atajitahidi kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili...

 

10 years ago

BBCSwahili

China, Japan na Korea kusini kukutana

Mawaziri wa mashauri ya kigeni wa China,Japan na Korea kusini wanakutana mjini Seoul leo jumamosi katika mkutano wa kiusalama

 

10 years ago

Vijimambo

MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA RWANDA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne Marie Kaarstad, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2014 kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne Marie Kaarstad, (wa pili kulia) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani