Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mhagama ashangazwa na gharama iliyotumika Ujenzi Wa Mfereji Boko Dar  

 

Waziri wa Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama amefanya ziara ya kushtukiza katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, kukagua na kutathmini gharama iliyotumika kujenga mfereji wa maji katika eneo la Boko jijini Dar es salaam.

Mfereji huo ulijengwa kwa ajili ya kuondoa tatizo la mafuriko katika eneo la Boko ambao umegharimu kiasi cha shilingi bilioni moja lakini hali imezidi kuwa mbaya baada ya mvua kunyesha kwa muda wa saa moja.

Hali halisi ya matokeo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI KARANGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa ameongozana na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga kwa lengo la kukagua maendeleo ya mradi huo.Meneja wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga Bw. Masoud Omari (wa pili kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA ATOA MAAGIZO UJENZI WA MRADI KIWANDA CHA MACHINJIO YA KISASA WA NGURU KUKAMILIKA KWA WAKATI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na wasimamizi wa mradi wa machinjio ya kisasa ya Nguru Hills alipofanya ziara ya kukagua Maendeleo ya ujenzi wa mradi huo uliopo Nguru ya Ndege, Mvomero Mkoani Morogoro. Wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Hosea Kashimba.



Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA APONGEZA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA KATIKA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akifurahia pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza muonekano wa majengo mapya ya Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo Mkoani Kilimanjaro. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI JENISTA MHAGAMA NA NAIBU MAWAZIRI MAVUNDE NA POSSI

si11Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. si12Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AMKABIDHI OFISI WAZIRI MHAGAMA LEO

Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (Kulia) ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) akifafanua jamabo kuhusu masuala ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Waziri wa Nchi aliyeteuliwa kushika wadhifa huo Mhe. Jenesta Mhagama (Mb) (kushoto ) wakati wa kumkabidhi ofisi, leo, Jijini Dar e es Salaam. Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (mwenye shati) ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA ILALA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UCHAFUZI WA MFEREJI WA MAJI YA MVUA







Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. Mussa Azzan Zungu akiwa pamoja na Wadau mbalimbali wakikagua mfereji wa kupitisha maji ya mvua uliopo mtaa wa Shaurimoyo katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya mfereji huo wa kupitisha maji ya mvua ukionekana jinsi ulivyoharibika kutokana na kutotunzwa vizuri na Wananchi wa Mtaa wa Shaurimoyo.

************************

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe Jenista Mhagama afanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia

Mhe Jenista Mhagama tarehe 21 April 2015 alifanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia.  Dhumuni ya ziara hiyo ilikuwa kujifunza taratibu na mambo mbali mbali yanayohusiana na Bunge la Zambia. Katika ziara hiyo Mhe Waziri aliongozana na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Balozi Grace J. Mujuma.

 Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma wakipewa maelezo na Spika wa Bunge la Zambia Jaji, Dkt. Patrick Matibini (hayupo pichani)Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Mhagama aahidi kuipigania TEWW

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, amesema ili kukabiliana na changamoto zilizopo nchini katika kukua kwa uchumi ni lazima Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW),...

 

11 years ago

Michuzi

Okoa gharama na muda wa ujenzi wa nyumba yako

Wakati Watanzania, katika miaka ya karibuni wamekuwa wakijitahidi kuboresha maisha yao hususan katika suala zima la ujenzi wa nyumba zilizo bora na za kisasa, upande wa pili wa harakati hizi umekuwa ni wa changamoto nyingi ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi katika kuzifikia ndoto zao hizo, hasa kwa upande wa gharama za vifaa vya kufanikisha ujenzi huo, lakini pale ambapo wameweza kujitahidi kuweza kufikia gharama hizo,
Katikati ya sintofahamu hii, kumekuwa na Watanzania ambao wamekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani