Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KAMATI YA KITAIFA YA URATIBU WA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID – 19)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID – 19), kilichofanyika katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AKUTANA NA KAMATI YA KITAIFA YA URATIBU WA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID - 19)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID - 19), kilichofanyika katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID - 19), kilichofanyika katika, ukumbi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID-19) NCHINI


 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar es salaam leo Kushoto ni Dk. Zainab Chaula Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati alipotoa taarifa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM


Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo  yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa  madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

KATA YA KIVUKONI CCM YAKABIDHI VIFAA NA SABUNI KUJILINDA NA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU YANAYOSABABISHWA NA VIRUSI VYA CORONA

Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik  Choughule (wa katikati) akiwa na viongozi wa Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kivukoni, kukabidhi vifaa na sabuni kwa ajili kuosha mikono kujilinda na ugonjwa wa homa kali ya mapafu  unaosababishwa na virusi vya corona, ambapo tuliwapa madereva wa bajaji walemavu wa kituo cha feri.
Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik  Choughule (wa pili kushoto) akiwa na viongozi wenzake kutoka Ofisa ya Mtendaji wa Kata ya Kivukoni, Remmy Mishekhe na Ofisa Afya Kata ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA KESHO APR 22, 2020



    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.

 Maombi hayo  yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa  madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KADHI MKUU WA TANZANIA

0d766169-dd05-48f7-8eb5-58506ff0a6c4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kadhi Mkuu wa Tanzania, Abdallah Mnyasi, ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani