Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipokea shada la maua kutoka kwa Immaculata Warqaso wa Ofisi ya Waziri  baada ya kuwasili kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2015 wakitoka Dodoma kwa gari.Wapili kulia ni Katibu Mkuuwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini  Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma kwa gari leo Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

MillardAyo

Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam

December 19 2015 Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alifanya ziara nyingine kutazama walikofikia wanaomalizia ujezi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam, tazama hii video hapa chini nimekuwekea kila kitu.

The post Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI SONGEA

e92a2ca8-1b8e-49f8-a0bc-fa4646427e30
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary   (kushoto kwake )  wakielekea kwenye Chumba cha mapumziko baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea na kupokelewa na wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3, 2016.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na kushoto ni Mbunge wa Songea Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM


Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo  yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa  madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Marubani na wahudumu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea Tanga , Machi 1, 2020. Waziri mkuu ameanza ziara ya kikazi ya Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza maelekezo  ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (kulia) aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. ...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma mchana huu, tayari kwa kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoani Kigoma mara baada ya kuwasili.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kigoma iliyofika kwenye Uwanja wa Ndege kumlaki.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kikundi cha ngoma cha akina mama wa ujiji Mkoani Kigoma. Kwaya ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAONYA WATUMISHI WA SERIKALI, AWASILI KIJIJINI KWAKE NANDAGLA RUANGWA


f3940726-a5ba-43fe-8d8a-66bdb6a1cb19Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wapigakura wke baada ya kuwasili kijijini kwake Nndagala wilayni Luangwa kwa mapumziko mafupi Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)……………………………………………………………………..*Asema wabadhirifu watang’olewa mara moja*Asema wako wasomi wengi wanaotafuta ajiraWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani