WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma mchana huu, tayari kwa kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoani Kigoma mara baada ya kuwasili.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kigoma iliyofika kwenye Uwanja wa Ndege kumlaki.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kikundi cha ngoma cha akina mama wa ujiji Mkoani Kigoma. Kwaya ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa afungua soko la kimataifa la Samaki Mkoani Kigoma leo
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU, MKOANI KIGOMA
9 years ago
Michuzi03 Jan
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI SONGEA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto kwake ) wakielekea kwenye Chumba cha mapumziko baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea na kupokelewa na wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na kushoto ni Mbunge wa Songea Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
9 years ago
MichuziJINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuanza ziara Mkoani Ruvuma!!
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Pichani) anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani
Ruvuma, ambapo atawasili mkoani hapo leo saa tisa alasiri.
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa
Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya jumatatu atakuwa na shughuli za kufungua tawi la Benki ya Posta mjini
Songea, kukagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) kanda ya...
5 years ago
MichuziMATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji, Angelah Kairuki, Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
9 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
Waziri Muu, Kassim Majliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10